Ushauri kwa machemuli wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa machemuli wa chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moony, Jun 3, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mh machemuli umeanza vizuri lakini kuna tetesi kuwa kazi yako ni kujenga nyumba Dar na Mwanza pia huko Ukerewe kutoka pesa za mgao za majimbo.

  Kama ni kweli ama la wewe jitahidi kupeleka maendeleo Ukerewe. Anza mapinduzi ya KILIMO kwa kuboresha kilimo cha zao la MUHOGO kwa kutumia mbolea ya samadi au kompsti. Tanzania nzima Ukerewe mnaongoza kwa muhogo mzuri usio na sumu, matunda matamu kupita kiasi, viazi vyenye vitamini A.
  pandeni miti na anzisha operation ya kujenga vyoo na zungumza na AZAM AWEKE KIWANDA cha kusindika matunda au juisi huko kwenu. Usikae kae kama MAGAMBA Msekwa na Mongela Yalivyo haribu hicho kisiwa bila kuleta maendeleo yoyote.
   
 2. B

  Black Rhino Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  makamada hawatangulizagi maendeleo yao, atoe kwanza shukrani kwa wapiga kura wake then mambo mengine baadae lasivyo anakiuka katiba ya chadema
   
 3. h

  hoyce JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Fedha za maendeleo ya Jimbo hutunzwa na ofisi ya DED, hutumika baada ya program kupitishwa, wewe unadhani zinakaa mfukoni mwa mbunge? Umesahau Shibuda akiwa CCM alikuwa na mgogoro na DED Maswa kwa kumnyima sh milioni 10 kutoka katika mfuko huo?
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  "Toka mbele ya uso wa mpumbavu maana hutaona kwake midomo ya maarifa"
  mithali 14:7
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli ni makosa makubwa anafanya Machemuli.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Labda keshaona 2015 harudi tena
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Majungu na fitna havina nafasi kwa mtu makini. Magamba yanalia.
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sasa mkuu unamshauri au unampiga majungu?
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Rejao ze uharo. Kaka kumbe bado ujapona ule ugonjwa wako wa kufikiri?
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hivi Machemli ni member humu?
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Anataka watu wapate kwa kusemea juu ya people's power.
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Na yule wa Bahi kaona hatarudi ndiyo anaadhimisha mila yenu kwa kuchukua rushwa ya 1ml!!!!!
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  vipi huko mtwara nako ni kaskazini?
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Yule aliyechua Rushwa ya Milioni moja kafanya vizuri?
   
 15. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hv kumbe utaratibu mpya ni kua fedha za mfuko wa maendeleo wa jimbo zinatunzwa na mbunge?nilikua sijui utaratibu huo mpya!
   
Loading...