WANAJF:
Kwa heshima na taadhima napenda kuutangazia Umma wa Watanzania popote walipo chini ya Jua kwamba nimeamua kwa dhati kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote bali ni kwa msukumo wa Uzalendo...
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi...
Na Mwantanga Ame
BAADA ya serikali kukabidhiwa ripoti ya Kamati teule ya Baraza la Wawakilishi, iliyochunguza mambo mbali mbali yaliyoibuka kwenye majadiliano ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
JE! GODBLESS LEMA NDIYE CHANZO KINACHOITWA KUKOSEKANA KWA UTULIVU JIJINI ARUSHA?
Mimi sielewi ni kitu gani kinachofanya watu kufikiri kuwa aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini ndiye chanzo cha...
Siku za karibuni nimekusikia ukihamasisha watanzania wasichague viongozi kwa kupewa vijisenti.
Rushwa kwa CCM ni sawa na cancer ya damu.
Hakuna kiongozi hata mmoja wa CCM anayeweza kujigamba...
Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na aliyekuwa mb wa arusha mjini GODLESS LEMA Amesema ataandaa maandamano makubwa jijini arusha kutaka watu wote waliomo magerezani mkoani humo wanaokabiliwa na wizi...
Wakuu salaam alykum.
"Afadhali vita inayosaka haki na heshima kuliko amani inayopumbaza akili na kudhalilisha utu wa mwanadamu" haya ni maneno yanayo penda kutamkwa na aliyekuwa Mheshimiwa mbunge...
Nimeona nianzishe thread hii kwa ajili ya wapinzani wa siasa za Nyerere hasa baada ya kuona wanajipenyeza kwenye threads zisizohusiana. kwa thread hii, mwageni lawama zote kwa hoja ila si kutukana.
Na Deogratius Temba, Tanzania Daima
PENGINE tunaweza kupingana, kukosoana na kutokukubaliana kuwa tatizo au sababu ya vurugu za Zanzibar zilizotokea wiki iliyopita ni udini au chuki za kiimani...
Wakati akilihutubia taifa jana kupitia televisheni pindi alipoanza kulizungumzia sakata la zanzibar kikwete aliiita zanzibar kuwa jiji sasa sijui kama ilikuwa bahati mbaya au kuna maana aliyotaka...
Jana mh. Jakaya Kikwete aliongea na wananchi wake kama ilivyo kawaida yake ya kila mwezi. Aliongelea mambo mengi ingawa mimi hata jambo moja sikuona linamgusa mwananchi wa kijijini. Sikuona kama...
Kuna taarifa ambazo hazija thibitika kuwa vurugu zilizo tokea kule Zanzibar ziliandaliwa maksudi na wanao taka hoja ya muungano isijadiliwe wala kushika kasi kama ilivyo sasa.Kwa hiyo wana jamvi...
Wanabodi,
JF ni zaidi ya chombo cha habari. Ni kawaida kwa zile hotuba za JK mwisho wa mwezi kushushwa humu!. Kwa mwisho wa mwezi uliopita jana tulitangaziwa hakutakuwepo hotuba ya mwisho wa...
kwa kipindi nilichomfahamu dr slaa kama mbunge na baadae mgombea uraisi nikiri kuwa mwonekano wake umebadilika sana.dr.slaa amepungua sana yaani amekonda mno isipokuwa ubongo wake ndio haujakonda...
Queries and concern as Katiba team gets stuck
Saturday, 02 June 2012 09:02
By Polycarp Machira
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
Concern is growing over the one-month unexplained...
National Economic Forum (NEF)
Date: Wednesday, 6th June, 2012 from 10:00 AM to 6.00PM
Venue: National Museum, Shaaban Robert Street opp. IFM, Dar Es Salaam, Tanzania
Theme: Building the...
Huyu Masauni inajulikana kabisa aligushi umri ili agombee uenyekiti wa UVCCM; ninavyofahamu mimi kughushi ni kosa la jinai, mbona huyu jamaa hajafikishwa mahakamani kutokana na kosa hili au ndio...
Wazanzibari kwa harakaharaka wanaonekana ni Wazalendo sana kwa "nchi" yao, kumbe kinachosumbua hapa si uzalendo bali ni chuki (za udini), ubaguzi (wa kidini) na unafiki! Muungano ukivunjika (Mungu...
Kila m2 sasa ahakikishe anawasiliana na wazee,ndg na jamaa sehemu mbalimbali na hasa VIJIJINI ili nao waamke wajue UBAYA wa CCM hatimaye watafute CHAMA kingine na si CCM.Anzeni sasa mtaona jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.