Mgogoro mkubwa CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro mkubwa CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jun 2, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dar na Zanzibar kwamba chama cha wananchi CUF kina mgogoro mkubwa wa chini kwa chini wa uongozi.Inadaiwa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro anaweza kufukuzwa wakati wowote ndani ya chama hicho.

  Taarifa zaidi za ndani zinasema kwa zaidi ya miezi mitatu sasa Mtatiro amekuwa kimya kabisa na wala hasikiki kama ilivyokuwa kipindi Lipumba akiwa marekani.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mtatiro alishaambiwa hapo hapamfai.Wanataka kumtumia halafu wamtupe kama BIG G.Mark my words
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mambo ya wafu waachieni wafu wenyewe!
   
 4. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Sasa asike wapi chama hakina oparesheni, mikutano ya hadhara wala maandamano?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Lunacy like TUNTEMEKE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wakishatumia pedi zao wasitupe barabarani wapeleke chooni tena cha shimo.
   
 7. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kutokana na vuguvugu la wana uhamso kule zenji. Huyo ilikuwa ni lazima wamngoe, maana hicho chama kina mwelekeo wa ibada za kule zenji.
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Cuf hawana hela ya kuchezea kwenye mihadhara mkuu
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ndiyo nini mkuu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. i

  ibange JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Karibu Chadema Mtatiro before it is too late
   
 11. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  juzi kati mtatiro alimpiga mtu ngumi...
   
 12. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Aje CDM kadi yake iko wazi pia na gwanda. Wengi wamejivua magamba na kuvaa magwanda. Usiongope hata baba wa Taifa JK Nyerere alivaa gwanda wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika.
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Julius na Cuf wapi na wapi?
   
 14. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huyu mtatiro aliingia choo cha kike ahame mapema ataaibika
   
 15. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si aende kwa magamba manake najua ccm na cuf ni wafuasi au pete na kidole.
   
 16. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du hii kali,ko jina la Julias linafaa chama kipi?na majina gani yanafaa Cuf?
   
 17. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,057
  Trophy Points: 280
  Jina Julius linafaa chama kingine chochote isipokuwa CUF na Uamsho yao. CUF kunawafaa hawa wafuatao:-

  (i) kwanza uwe na chuki na hasira kali na makafir na uwe tayari kuwauwa au ukishindwa kuwauwa basi nuna au wadharau au usishirikiane nao kokote walipo kwani hawastahili kuwepo chini ya jua.

  (ii) Uwe tayari kuitetea na kuisimamisha dini kwa nguvu zote dhidi ya dini zingine katika nyanja zote iwe katika siasa, sirkali, n.k.

  (iii) Unafiki, uongo, uzushi, propaganda chafu, uzandiki, husda, dharau, kejeli, umimi na mengineyo yanayofanana na hayo ndio silaha na mtaji mkuu.

  (iv) Mwarabu ana thamani kuu kuliko binadamu mwingine yeyote kwani ni vitukuu na utakaloambiwa na mwarabu fanya bila kusita hata kama ni kuuwa.
   
 18. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  July you are welco to the jezy team!
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ok time will tell
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  atajuta kwa nini hakumsikiliza Mbowe
   
Loading...