Haya ndio wasemayo makamanda wangu,ktk safari ya M4C

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
....."Chadema kitakuwa chama cha mwisho,cha mwisho,chadema kitakuwa chama cha mwisho katika kuendeleza harakati za kuondoa amani nchini"....Mhe Mbowe-akiwa ndani ya Chadema squre(Jangwani) 26/5/12 akifafanua juu ya vitisho vya polisi dhidi ya CHADEMA
 
Ni kweli hao ni makamanda waende jeshini tukiwapa nchi imekula kwetu,kwa kauli zile za Joshua Nassari wakafane vurugu uko kaskazini huku kwengine hatutaki wakileta vurugu hatutamuacha mtu katu hatuwezi kubali ata kdg!
 
......"kuongeza bei ya mafuta ya taa eti kwa lengo la kukomesha uchakachuaji wa mafuta ya disel ni hoja ya wendawazimu".....Mhe W.Slaa akiwa ktk viwanja vya chadema square(Jangwani)Dsm-25/5/12 akifafanua juu ya kupanda kwa gharama za maisha
 
heri ungekuwa unakariri maandiko matakatifu kama ulivyokariri hiyo kauli ya Nasari
 
Ni kweli hao ni makamanda waende jeshini tukiwapa nchi imekula kwetu,kwa kauli zile za Joshua Nassari wakafane vurugu uko kaskazini huku kwengine hatutaki wakileta vurugu hatutamuacha mtu katu hatuwezi kubali ata kdg!

mkubwa!....bila shaka na wewe ni majeruhi wa kombora la M4C,Habaki mtu
 
......"tukisema CCM maana yake na sisi tumo,semeni NYINYIEM"......Mhe Joseph Mbilinyi, akiwa ndani ya Chadema square(Jangwani) DSM-26/5/12wakati wa mkutano wa vuguvugu la mabadiliko
 
......"kuongeza bei ya mafuta ya taa eti kwa lengo la kukomesha uchakachuaji wa mafuta ya disel ni hoja ya wendawazimu".....Mhe W.Slaa akiwa ktk viwanja vya chadema square(Jangwani)Dsm-25/5/12 akifafanua juu ya kupanda kwa gharama za maisha

Hapa CDM wanachemsha. Ni kweli kuwa dawa pekee ya kuzuia uchakachuaji ilikuwa kuondoa unafuu wa kodi kwenye mafuta ya taa.
 
Hapa CDM wanachemsha. Ni kweli kuwa dawa pekee ya kuzuia uchakachuaji ilikuwa kuondoa unafuu wa kodi kwenye mafuta ya taa.

dr yupo sawa,kwani wanaochakachua toka sheli za mlandizi mpaka mdaula si wanajulikana? Huo ni uonevu kwa wananchi ili wafanyabiashara waendelee kuvuna.
 
Ni kweli hao ni makamanda waende jeshini tukiwapa nchi imekula kwetu,kwa kauli zile za Joshua Nassari wakafane vurugu uko kaskazini huku kwengine hatutaki wakileta vurugu hatutamuacha mtu katu hatuwezi kubali ata kdg!

Tumia ubongo wewe utaachwa vibaya.
 
Hapa CDM wanachemsha. Ni kweli kuwa dawa pekee ya kuzuia uchakachuaji ilikuwa kuondoa unafuu wa kodi kwenye mafuta ya taa.

mkuu kumbuka umeme unatumika tu na 12% ya watanzania na ni dhahiri kuwa hiyo 88% iliyobaki wanategemea sana kerosene..alaf pia ongezeko hilo la bei lilikuja wakati mgao ulkua umepamba moto,kwahiyo hata hao 12% nao wanategemea kerosene
 
Hapa CDM wanachemsha. Ni kweli kuwa dawa pekee ya kuzuia uchakachuaji ilikuwa kuondoa unafuu wa kodi kwenye mafuta ya taa.

Mafuta ya taa yanatumiwa na watu wa kipato cha chini, Diesel inatumiwa na watu wa kipato cha juu.... Kupandisha bei ya mafuta ya taa ili kuwafurahisha watu wa kipato cha juu ni kutokuwatendea haki watu wa kipato cha chini na kuwaongezea umaskini. Katika vipindi ambavyo bunge halikuwatendea haki watu wa kipato cha chini ni kipindi ambacho walipitisha hiyo sheria.

Kulikua na alternative nyingi ili kumaliza tatizo la uchakachuaji mfano; kuweka sheria kali za kuwafungia kuuza mafuta wachakachuaji wote, jela au/na faini kali, pia kuongeza ukaguzi wa mara kwa mara kwa wauza mafuta chini ya wakala wa vipimo kwa kushirikiana na TBS na kuwachukulia hatua kali wale wote watakaotoa au kupokea rushwa ili kufanikisha uchakachuaji wa mafuta hayo.
 
Hapa CDM wanachemsha. Ni kweli kuwa dawa pekee ya kuzuia uchakachuaji ilikuwa kuondoa unafuu wa kodi kwenye mafuta ya taa.

nilipoon avatar yako nilifikiri ni mtu unayeamua mambo kisayansi kumbe huna lolote ni kama malecela alivyoshauri ili kuondoa mgogoro wa burundi ni kuifanya mkoa wa tanzania.
kumbuka kwa akili yako ni kuwa ili kuzuia ujangili mbuga ni kuwapiga risasi wanyama wote.
 
Dk yuko sahii. Kwa nini hawakushusha kodi ya dizeli ilingane na mafuta ya taa, na hasara ikahamishiwa mahali pengine?
 
Dr. Hakukosea ni implication ya usemi wake ni kuwa hawa wa fanya biashara ya mafuta nchini wapo juu ya sheria, napia serikal haina upendo na wananchi wake maana kama ingekua hvyo ingewajali japo kwa kupunguza bei ya gas ipatikanayo hapa hapa kwetu na kuongeza matumiz ya makaa ya mawe kuondoa uhaba wa nishati nchini.
 
Hapa CDM wanachemsha. Ni kweli kuwa dawa pekee ya kuzuia uchakachuaji ilikuwa kuondoa unafuu wa kodi kwenye mafuta ya taa.

mkubwa!.....dr alitaka badala ya kuwatwisha mzigo wananchi maskini ambao ni wengi serikali yenye polis iwasaka na kuwakamata wachakachuaji.kama na wewe ni mwingoni mwa wendawazimu shauri yako lakn ujumbe umefika
 
....."ninaposema maisha ni magumu,ni magumu kwa walimu,ni magumu kwa polisi,ni magumu kwa usalama wa taifa,ni magumu kwa wote ambao si mafisadi,ni mafisadi ndio wanamaisha mazuri"..... Mhe Dr.Slaa akiwa ktk viwanja vya Chadema square-DSM akifafanua juu ya gharama za maisha kupanda,mfumuko wa bei upo juu kuliko kawaidg
 
Back
Top Bottom