Ni yupi haswa ananyonywa katika muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni yupi haswa ananyonywa katika muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The third, Jun 2, 2012.

 1. T

  The third Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani tukubali au tukatae mda umefika watu inatakiwa tuwekane wazi kwajinsi mambo yalivyo badilika wazanzibar wamegundua kuwa wao ni watumwa wa tanganyika wameamua kushituka lakini watanganyika wameshindwa kukubali kuwa wao ni wakoloni na wanataka waendelee kuwa wakoloni katika koloni lao la zanzibar bora tuwaachie awa watumwa wetu wajitawale kwani wamesha shituka kwanza awana faida na sisi watanganyika bora wachape mwendo.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ni watuma si watumwa.
   
 3. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanza hakuna taifa la Tanganyika kwa sasa duniani na wazanzibari hawajawahi kuwa koloni la tanganyika wala watumwa, tatizo ni usiri na uoga kwa muungano ulioko utadhan tulitengeneza dude la hatari
   
 4. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Muungano kitu Adhimu, tukienzi ndugu zangu.
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kakobe, Mzee wa Upako, Mwingira na wachungaji wengine mnaoombea watu wakapona ulemavu wao, tafadhalini mwombeeni na huyu UBONGO utoke makalioni uhamie kichwani.
   
 6. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Mtoa mada ni mbaguzi, hata watoto wako utajawabagua take care ndgu.
   
 7. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pamoja na kuwa upande wa Zanzibar unaonekana ni nchi, una rais wao, bendera yao, mahakama yao, wimbo wa taifa lao, katiba yao, bunge lao, vikosi vyao vya ulinzi wa wananchi, na dini yao, bado watu hawa wanalalamika kuwa wanamezwa huku Upande wa Bara unalalamika kuburuzwa na kumezwa katika Muungano huu ulioua Taifa lao la Tanganyika. Hawana bendera, hawana wimbo wa taifa, hawana rais, hawana katiba wala bunge lao. Kinachoonekana ni kuwa kila kitu cha Tanganyika ni cha Zanzibar na si kila kitu cha Zanzibar ni cha Tanganyika.  my take mi nafikiri waliokuwa wanatakiwa waandamane ni watanganyika na wala siyo wazazanzibar maana kiuhalisia zanzibar au wazanzibar wana wawakilishi kwenye vyombo vya maamuzi tofauti na watanganyika.Nafikiri ni wakati wa kuidai Tanganyika yetu ili kusudi wote twende sawa
   
 8. I

  IWILL JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wazanzibari walipigania uhuru wao wenyewe bila kupata masaada wa tanganiyika kwanini wasitoe maoni yao ya kuwa na muungano au hasha. kama muungano hautoshelezi matakwa yao kwanini wasijitenge? urusi ilikuwa na muungano wa nchi kibao lkn mambo hayakuwork out nchi nyingi zikajitenga na muungano iwe zanzibar. sababu ni zile zile watawala waliopo wa CCM wameshindwa kukidhi matarajio ya wanzabari. watu kuhoji muungano ni uasi, na kama CCM wataendelea kuongoza nchi kwa ramli hata mikoa ya tanzania bara itajitenga. CCM are walking dead, just matter of time.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hakuna kazi ngumu kama kubeba toto ambalo halitaki kubebwa hata kama anayechoka ni wewe.
  zanzibar hawana haja na mbeleko lenu hata wanataka kulichoma moto.
  maswali ni mewngi kama wabara hamna faida(na kweli hamna)kwa nini mnawalazimisha?wenzenu wanatamani vya bure kutoka uarabuni ninyi mnawazuia kwa nini?
  kama ni kazi si mfanye peke yenu?
  kwa nini kumlazimisha mtu hata kama kuna mahali anaona vya bure hata kama vitamwumiza baadae kwa si nyie mtakayeumia.
   
 10. J

  Jadi JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  kwani hapa ni muungano au Bara kamuoa Mzanzibari sasa anataka talaka??tuwape talaka moja wakikwama watarudi, ni kama ndoa ambapo mke pamoja na kuwa hana mchango anadai mali zote za familia ni za wote hata ka,a alikukuta wewe ni milionea, tuwaache jamani wajifunze mtaani wakikwama watarudi tu
   
 11. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Wewe una matatizo makubwa sana,

  Zanzibar haibebwi! Zanzibar ni mwenza katika muungano.

  Hivi kwa nini "Mitanganyika" inakuwa vipofu?
   
 12. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wote tunanyonyana!
   
 13. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  The 3rd lazima wewe ni muhaya maana naona kwenye H unaondoka na A well bado una point
   
 15. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yenu hakuna watu wanaotunyonya kama Wazanzibari. Angalia ktk Board ya Mikopo ya elimu ya juu wenzetu wanapata double(serikali yao na board ya muungano) for undergraduates. Vile vile serikali yao ina-finance graduate studies, kuthibitisha hilo nendeni Mlimani na UDOM mtaona kuwa kiuwiano Wazanzibari wanasoma (MA&MSc)ni wengi kuliko Wabara.Mbali na hayo ktk nyanja za kimataifa (uwakilishi)kwa kuwa wao ki-population ni wachache hali ni vivyo hivyo, iwe kwenda masomoni, mabalozi,etc. Pia wao wanaruhusiwa kununua na kumiliki ardhi huku bara lakini sisi ni haramu huko kwao. Wanawabunge wao na wa muungano. Ndiyo maana CCM Zanzibar wanatetea muungano kwa kujua namna wanavyofaidika.
   
 16. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bora tuwaachie awa watumwa wetu wajitawale kwani wamesha shituka kwanza awana faida na sisi watanganyika bora wachape mwendo.
  • [​IMG]
   
 17. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ILi kujua kama ni watumwa ama si watumwa ipigwe kura ya maoni
   
 18. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unatakiwa ukapimwe akili wewe hivi inakuja akili mwako kuwa kuna usawa kati ya watu milioni arobaini na watu milioni mbili? Kwa mtazamo wangu mimi Tanzania bara tunapata hasara kuilazimisha zanzibar kuwa kwenye muungano kwanza hata uhuru wa zanzibar ni wa kumwaga damu kwa maana hiyo laana ya damu bado inawatafuta wasituletee huku na fujo zao waachieni mkoa wao mnawang'ang'ania wa kazi gani?

  Mpaka waanze kujitoa muhanga ndiyo mjue hawataki!!!! Ujinga wa watu milioni mbili ulete madhara kwa watu milioni arobaini tutakuwa tuna akili au tuna matope vichwani mwetu! FUNGASHENI NA ONDOKENI TUONE KAMA SULTANI HAJAARUDI KUWATANDIKA BAKORA
   
 19. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,362
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  jamani hawa kina Hami J hawana faida yoyote na tanganyika,
  zaidi ya utalii na hizo karafuu hamna isue kiuchumi,ni ndoto za mwendawazimu kuota misaada kutoka uarabuni baada ya kuvunja muungano.
  Kinacho wasumbua ni udini pamoja na shule pia ni tatizo!
  ukiwafutilia hawa jamaa ni wabinafsi sana hata wanapokuja vyuoni huku bara,maisha yao ni ki Hami J hawapendi kujichanganya na wabara kabisa.
  ila kumbukeni maneno ya baba wa taifa nyerere alisema"dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu haiishii hapo,mkimaliza uzanzibari na utanganyika badae! mtahamia kwa upemba na uunguja"
  kumbukeni hilo
   
 20. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Zanzibar wananyonywa kwani wana matiti kama wanayo wayafufunike tumechoka na kelele zao oh muungano mbaya hatutaaki wabara sasa wamejazana huku wanafanya nini si warudi kwao ili wakisema muungano mbaya ni kweli mbaya kwani wamekuwa waking'ang'ania bara na hali hawataki wabara waende kwao
   
Loading...