Taha Taslima (CUF) aongoza kuungwa mkono na wabunge wa CCM

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
485
36
uchaguzi wa kuchagua wabunge wa afrika mashariki uliofanyika jana tarehe 18/04/2012 bungeni dodoma, umeonesha mengi. Kubwa ni hili la mgombea wa cuf kushinda ushindi wa kishindo. Akiungwa mkono na karibu nusu ya wa bunge wote wa ccm. Taha Taslima uliiwapa nini wabunge wa ccm.huku prof aliejizolea sifa kemkem akikufuatia kwa mbali
 
Taha ni mwanasheria mzuri sana tunategemea hatatuangusha kwenye masuala nyeti ya utaifa hasa ardhi yetu kuiweka rehani kwa wakenya!!
 
Back
Top Bottom