Kipimajoto ITV: Tundu Lissu ndani ya nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipimajoto ITV: Tundu Lissu ndani ya nyumba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mamaya, Jun 1, 2012.

 1. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mada leo ni kundi linalosababisha vurugu zanzibar je lipo juu ya sheria?
  Kamanda ameanza na kumnukuu nyerere.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade's Tujongee na kumsikiliza Kamanda Tindu Lisu akiongea ITV mada vurugu za Zanzibar
   
 3. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Anasema masuala ya udini kwenye vurugu za Zanzibar ni hoja ya kujishikiza tu. Suala zima ni utata wa muungano..
   
 4. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Jamaa anahoji je huu muunganoni sawa na sheria aliyopewa nabii Musa kwa hiyo usiguswe?
   
 5. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mh. Tindu Lisu amefungua mjadala wa Leo unaozungumzia vurugu za Zanzibar.
  Ameanza kwakutoa historian fupi ya Zanzibar ambapo ukristo ulianza zamani znz kuliko hata bara hivyo basi tunahitaji kutafuta chimbuko na wahusika wa vurugu hizo
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  mlango wa amani ukifungwa, wa vurugu unafunguliwa!
   
 7. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kichwa cha habari hakina ushadidi na yaliyomo ndani
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anasema mlango wa amani ukifungwa unafunguka mlango wa vurugu. uwepo wa muungano ujadiliwe kwani katiba ya sasa inaruhusu kuuvunja kwa theluthi mbili ya kura za wabunge wa pande zote!
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mungu akubariki kwa taarifa mkuu.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wapige kura bunge tumalize kazi
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mods: kuna thread nyingine humu. ziunganisheni!
   
 12. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kuna jamaa hapa kilaza,kaingia kwenye mjadala hana data,halafu ni anajiita mwanasheria,hawa ndio wanasheria uchwara
   
 13. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hasante bro, maana nilishaizima TV. Taarifa yako humu JF ndio imenifanya nikione hiki kipindi. Huyo Mzenji aliyevaa Magwanda amekaa karibu na Lisu anaitwa nani? maana naona nae anaongea ukweli mtupu.
   
 14. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  anaitwa Hamad Yusufu
   
 15. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Muungano unajadiliwa katika kipima joto ITV. Wazanzibar wanalonga... Watawala wanatumia ubabe kuuendeleza muungano.
   
 16. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kuna sheikh anasema kuwa wananchi wako mbele kifikra viongozi wao wako nyuma kifikra,kwamba wao wananchi wanajua wanataka nini
   
 17. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hamad Yusuf anasema, 'Wananchi wako mbele kimawazo, viongozi wako nyuma'.
   
 18. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Mh Lisu anachambua vizuri sana suala la muungano. Jamaa anajua kujenga hoja huyu! Inanoga sana kumsikiliza.
   
 19. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  huyu Lissu ni jembe linalokata vibaya mno. Huyo jamaa aliyechelewa kuja hajui alilokuwa anaongea.
   
 20. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kuna hili dubwashika lenye koti la kijani linasema hoja ya kupinga muungano ni hoja ya Cuf,Lissu anampinga anasema Mzee jumbe na wanasheria wake waliwekwa kizuizin kwa kutaka kuujadili muungano,so suluhu ni kuruhusu mjadala wa Muungano!
   
Loading...