Kilimo kwanza ilikuwa ni sera namba moja ya wachumi wa kikoloni. Walipofika walianza na kilimo kwanza kabla ya elimu .Wakaleta mazao kama mahindi,maharage,mpunga,chai,kahawa,pamba,karafuu nk mazao...
Katika uchaguzi wa uliofanyika Katika kata mbalimbali za Chato, Magamba wamepigwa mweleka na CDM maana hata vijijini CCM haitakiwi.
VIJIJI ILIVYOSHINDA CHADEMA NI:-
1. Mjengo kata ya Mganza
2...
Ujio wa Rais mstaafu wa Marekani Mhesimiwa Bill Clinton ktk kujaga kwake hapa kwetu mwaka 2002 kama rais wa kwnz wa Taifa kubwa kama hilo duniani faida yake kama kumbukumbu kwa kizazi kijacho ni...
Nadhani mtakubaliana nami kuwa nchi imefika pabaya. Rushwa sasa inadaiwa hadharani na huwezi kupata huduma yeyote bila kutoa kitu kidogo. Nilitoa gari bandarini last week hakuna rangi sijaona...
Ni nini usichokijua kuhusu Richmond? If you-scratch-my-back-i-will scratch-yours. Nani asiye na gamba?Duh…!Unaweza ukadhani maneno haya ni maneno ya maigizo kumbe ndio mtindo wenyewe.
Nani...
BINAFSI NAFURAHISHWA SAANA NA NAPE KWA KUKIMALIZA CHAMA CHAKE NI MTU ANAYEJIJENGA BINAFSI BADALA YA CHAMA NIMEFURAHISHWA NA HILI KWA SABABU HILI LINASAIDIA SANA KUONGEZEKA KWA WAFUASI NA WAPIGA...
Kauli ya mkuu wa kikundi cha wana uamusho Zanzibari juu ya kile wanachodai kuendelea kupinga muungano kwa maombi mpaka kieleweke, si jambo la kupuuza. Msimamo alioutoa mkuu huyo, siku moja tu...
Saturday, 02 June 2012 08:54
VIKAO VYAANZA KUJADILI KAULI ZAKE, WENZAKE WANNE NAO KUJADILIWA KWA KUUNGA MKONO PINDA ANG'OLEWE
Waandishi Wetu
SIASA za minyukano ndani ya Chama Cha...
MY Take:
Tanzania can do the same, yes inawezekana.
>>>>>>
Joyce Banda, Malawi's new president, has announced the presidential jet and fleet of 60 Mercedes limousines would be sold in a move...
A judge sentenced former Egyptian president Hosni Mubarak to life in prison on Saturday after convicting him of involvement in the murder of protesters during the uprising that ousted him last...
ujio mpya wa cuf baada ya kujigambua. Umekuwa gumzo kila kona mwa jiji la dar es salaam wengi wakisifu. Nawengine kuponda basi yote kwa yote ni gumzo mtaani sijui vilomo wahumu especialy wale...
UVCCM-Chuo cha Jordan chama kinakimbiwa ile mbaya hii ni baada ya kuwekwa tangazo mara mbili na wanachuo kumkashifu katibu na baadae kuamua kulitoa.Jamana ccm hawana wanachama vyuo vikuu.
Ndugu zangu,nashangazwa sana na wachangiaji wengi,hasa kwenye hoja zinazohusu utaifa.Kila ukipinga uovu wa serikali unatuhumiwa kuwa wewe ni mfuasi wa Chadema.Katika taasisi za elimu ya juu,kila...
Ndiyo wakuu ! Kama nilivyo wajullsha muda mfupi uliopita, ziara ya makamanda 30 toka chuo kikuu cha saut-mwanza kuelekea kasamwa,geita ndo imeanza. Sasa hivi ndo wanavuka busisi ferry . Zaidi...
MAWAZIRI wawili wa zamani katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige na Shamsha Mwangunga, wanatuhumiwa kuliingizia taifa hasara ya sh bilioni 300, kwa kutumia madaraka yao vibaya.Tuhuma...
Waziri Wasira, kidume toka CCM. Mwenyeji wa Ikulu lakini kwa bahati nzuri naona mwenye nyumba ikulu hana mtoto mchanga manaake jamaa angetumika kama kinyamazisho cha mwana. Amekiri kuzomewa lakini...
Juzi nilileta mada yenye kichwa cha habari "M4C Zanzibar" nyuzi ilisema hivi:
Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa CHADEMA usisahau kupeleka mkutano wa M4C Zanzibar haraka iwezekanavyo...
Na Mwinyi Sadallah
2nd June 2012
Kiongozi wa Jamhuri ya Maimamu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI), Sheikh Amir Ahmed akizungumza na waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.