:clap2:
UNAJUA SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI KWA KUANGALIA ANAVYOONGEA NA KUCHANGIA KIFEDHA SIO ZURI KWA SABABU UONGOZI SIO FEDHA WALA MANENO...UONGOZI NI KUTOA MAAMUZI SAHIHI...HII YA KUCHAGUA WATU...
Hii si Muchezo: Katika utafiti wangu mdogo nimegundua watu hapa nchini wanawaabudu wanasiasa.
Wengine wanaabudu kwa kujua lakini wengine matendo yao tu yanashuhudia kuwa wanawaabudu.
Hao...
Akifanya vizuri tumpedekeze kiwa Presidaa..Au mnaonaje?
Hamna cha Lowassa, Mwandosya
UPDATES:
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kuachia ngazi za kisiasa mara kipindi cha ubunge wake...
Hizi mbwembwe za Magufuli zinachosha!, juzi kawatuliza wakandarasi kwa madai kwamba matatizo ya EURO zone na matatizo ya kampuni ya PEOGEOT ya Ufaransa ndio yatakayosababisha serikali ya Tanzania...
Napenda kukupongeza kiongozi wetu kwa kazi nzury uliyofanya wewe na viongozi wenzako hapo jagwani,mmeonyesha ukomavu sana,,sasa kiongozi wangu nape na sisi watu wa arusha tukutegemee lini kwenye...
, 2012
Tanzania | Saturday 9 June 2012
Former President of the United Republic of Tanzania, Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi, has lashed out at people who incite religious riots on the pretext of...
Nawaombeni viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo kufanya mkutano mkubwa hapa dodoma kabla ya bunge,ila wakazi wa dodoma nao waweze kushiriki ktk m4c kwa kufanya hivyo tutaamsha walio lala.
Mwalimu alisema Ikulu sio sehemu ya kukimbilia, ila cha kushangaa mtajwa hapo juu anautaka urais kwa nguvu zote.
Kama nia ni kusaidia nchi naamini kwa nafasi yake alio nayo anaweza tu sio mpaka...
Nasikikitika kusikia kelele za Nape na CCM as if CCM imefanya makubwa au hata ina the MOst Brilliant Minds. maneno yake kuwa .....CCM itaendelea kutawala....kwa vile wapinzani...
NIMEFUATILIA BAADHI YA PICHA NIKABAINI KWAMBA SIYO KWELI MIKUTANO YA CDM KANDA YA KUSINI INAJAZA KAMA INAVYODAIWA NA CHAMA HICHO, SITAKI KUSEMA CHADEMA KASKAZINI OK LAKINI BADO SAFARIO NI NDEFU...
Ndugu viongozi wa kitaifa wa CHADEMA, wananchi wapenda nchi ya Tz wanaomba muandae mkutano Jangwani awamu ya pili ili mseme umaskin mlio uona kusini mwa Tanzania katika M4C.
Pia mtusemee kero...
Mara zote CCM wakati wa midaharo iwe ya Uchaguzi au mambo yoyote yahusuyo wananchi huwa wanapinga kwa herufi kubwa kuwa hawataki kusikia habari za midaharo na mbaya zaidi kurushwa moja kwa moja...
Uchungu wa Lift Co. Ltd inayo furaha kuwatangazia wananchi wote watakaorubuniwa na kudandia lift kuja CHADEMA Square kuwa tutatoa huduma zifuatazo:
1. Maelekezo ya kulijua Jiji
2. Matangazo ya...
Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi..
Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi...
Jamani huu ni wakati wa kumkumbuka MUNGU na kuwaombea viongozi wa nchi yetu ili MUNGU awape HEKIMA na MAARIFA.
Tuacheni ushabiki wa vyama ambao hauna tija yoyote.
Kumbuka:
Kila Mamlaka iliyopo...
Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO
Nape leo ametoa jina jipya kwa wanaohama ccm kuwa ni vinyago na vinyago haviwezi kuwatisha hilo ni jina la pili ndani ya wiki moja baada ya kuwaita kuwa ni Oil chafu ametoa kauli hiyo alipokuwa...
baada ya kumaliza vurugu huko Zanzibar, magazeti yote yalielekeza macho na kalamu yao huku TZBARA.
ukiangalia magazeti mengi, harakati za taasisi za Kiislam kama BAKWATA na jumuia za kiislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.