Malori ya mkutano wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malori ya mkutano wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngalikihinja, Jun 9, 2012.

 1. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,646
  Likes Received: 2,952
  Trophy Points: 280
  Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,358
  Likes Received: 1,309
  Trophy Points: 280
  Tupia ili iweje..?
   
 3. awp

  awp JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  tuweke wazi hizo namba zitakusaidia nini?
   
 4. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaaaa......kuthibitisha yanayosemwa!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,632
  Likes Received: 11,561
  Trophy Points: 280
  Mnaweza hata kulipiga picha na kutupia hapa
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,377
  Likes Received: 605
  Trophy Points: 280
  Wapinzani presha inapanda presha inashuka..mnaweweseka.
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ikiwezekana hata picha kabisa,mie niko jangwani kwa sasa naona wanaendelea kusomba viti vya plastic vyeupe viko kama 1,000 na kujenga stage na wanaandaa mabango.Full ulaghai ukipita mgao wa 10,000 nitakujuza.
   
 8. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuko Jangwani tunasubiri mgao kwani hapa tunakuja kuchukua ili tukachangie kwa pipoz power.

  Kama hujafika nijulishe nikupe update.
   
 9. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesi bila ushahidi hutashinda,pia no research no right to speak.
   
 10. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupate idadi ya Fuso zilizosomba wanachama.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,646
  Likes Received: 10,167
  Trophy Points: 280
  Wanapelekwa Jangwani muda huu kwani mkutano unaanza saa ngapi?
  Au wao ni solar pannels wanaenda kuzalisha umeme ili utumike mkutano utakapoa anza?
   
 12. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Sijawahi kula pesa ya magamba mgao ukipita naombeni mnijuze
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,646
  Likes Received: 2,952
  Trophy Points: 280
  Ili kujuwa malori mangapi yalipeleka watu Jangwani
   
 14. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,707
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  majungu tu!
   
 15. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi ntakuja na pilipili na ndizi kwa ajili ya wali-ngo'mbe.
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,327
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Kula CCM KURA Chadema
   
 17. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  watanzania tunanunuliwa hata kwenye haki? aibu sana kweli umasikini ni mbaya sana. tufikirie kama unawekwa kwenye lori kama ng'ombe za usukumani zikiletwa dar kuchinjwa au viazi mviringo kutoka uporoto tukuyu aibu sana
   
 18. Z

  Zhu Senior Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyuso za vijana ziko CDM mioyo yao iko CCM this is the truth.
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Kuna costa inatoka boko namba T257 AVL wanaimba "iiiyenaiiiyena"
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,665
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Mkuu peter tumaini picha za Malori zikiwa na watu ndio muhimu zaidi hizo nyingine waache wapige wao
   
Loading...