Ujenzi wa barabara ya kilwa umerudiwa?

Tutafika

JF-Expert Member
Nov 4, 2009
1,443
631
Hizi mbwembwe za Magufuli zinachosha!, juzi kawatuliza wakandarasi kwa madai kwamba matatizo ya EURO zone na matatizo ya kampuni ya PEOGEOT ya Ufaransa ndio yatakayosababisha serikali ya Tanzania isiwe na uwezo kuwalipa fedha zao, nao maskini wameitikia kwa kutikisa vichwa bila hata kutafakari. Jangwani nako kapiga mbwe mbwe nyingiii yani mpaka zinachefua.

Sasa njoo kwenye hali halisi, zile hoja za kupanua barabara ya Morogoro na kuvunja vunja majengo kama lile la Tanesco zimeishia wapi? Kuna mradi gani mpya kauanzisha tangu aingie hii wizara ya ujenzi katika awamu hii ya JK? au basi hili la barabara ya Kilwa nalo vipi?, au ndio walishakabidhiana kiaina yake?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/168547-barabara-ya-kilwa-kujengwa-upya.html
 
mzee unaonekana hauko informed,mkandarasi alishaanza kazi ya ukarabati(remedial measure) wa kilwa road tangu last week
 
magufuli aende kupiga lecture vyuoni na phd yake watamwelewa kuliko kujidhalilisha chini ya jk anayeikausha hazina na safari zisizo na tija
 
Ngoja nikapige picha nikuletee. I'll be back.

nasubiria natumaini hutoniletea picha za zakhiem hadi st mary, maana huko hakukutengenezwa baada ya kumbana mbunge (kipindi kike kuna mashimo ova mahandaki) ndo wameamua kupatengeneza (maana hapakutengenezwa wakati wachina wanajenga barabara, kikwa road ilijengwa kuanzia bendera tatu hadi mita chache karibia kituo cha basi hapo zakhiem)

baada ya kusema hayo nasubiria picha
 
mkandarasi alishaanza kazi kati ya mbagala kizuiani na zakhem,nenda mtoni mtongani kuna bango likielezea mkandarasi anayekarabati
 
Hizi mbwembwe za Magufuli zinachosha!, juzi kawatuliza wakandarasi kwa madai kwamba matatizo ya EURO zone na matatizo ya kampuni ya PEOGEOT ya Ufaransa ndio yatakayosababisha serikali ya Tanzania isiwe na uwezo kuwalipa fedha zao, nao maskini wameitikia kwa kutikisa vichwa bila hata kutafakari. Jangwani nako kapiga mbwe mbwe nyingiii yani mpaka zinachefua.

Sasa njoo kwenye hali halisi, zile hoja za kupanua barabara ya Morogoro na kuvunja vunja majengo kama lile la Tanesco zimeishia wapi? Kuna mradi gani mpya kauanzisha tangu aingie hii wizara ya ujenzi katika awamu hii ya JK? au basi hili la barabara ya Kilwa nalo vipi?, au ndio walishakabidhiana kiaina yake?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/168547-barabara-ya-kilwa-kujengwa-upya.html

Kilomita zaid ya 11,000 za lami wakati wa Kikwete tu.
 
Back
Top Bottom