Taire taire taire baba, gazeti la tanzaniadaima too much tena

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
baada ya kumaliza vurugu huko Zanzibar, magazeti yote yalielekeza macho na kalamu yao huku TZBARA.
ukiangalia magazeti mengi, harakati za taasisi za Kiislam kama BAKWATA na jumuia za kiislam nyengine zilizokuwa katika harakti zao kama taasisi nyengine za kidini. Ukisoma nipashe, habarileo, majira, mwananchi, Mtanzania, uhuru, Jamboleo, Majira yamejaribu kuonyesha angalau nini kinaendelea
Palikuwa na Kongamano kubwa hapo Diomond Jubilee kuhusu Katiba mpya, sensa, sakata la Necta na hali ya Zanzibar.
kwa bahati nzuri magazeti yote yalitoa taarifa hizo kwa mtazamo wao.
Lkn TZDAIMA Licha ya kuwa na waandishi wengi kama waliowatuma ZANZIBAR, haijawhi kutoa au kupasha habari zinazohusu waislam tangu kumaliza Sakata la Uchomaji wa Makanisa ambapo gazeti hilo lilikuwa ni moja ya magazeti ACTIVE ktk swala zima la Zanzibar.

MTAZAMO WANGU
Binafsi naamini kila gazeti linamtazamo wake wa kutoa na kupasha habari, ndio maana Magazeti kama Msemakweli, Kiongozi , annur na Kisiwa yanajulikana jinsi ya wanavyotoa habari yao
Lkn magazeti yanayojulikana sio ya Kidini linapotokea tukio kama hili pana haja ya kuuliza.
INGALIKUWA tzdaima haihandiki maswali ya taasisi kidini hapa pangalikuwa hakuna haja ya
Kuhoji.LKN tukio la Zanzibar ilivyolemea kuna haja ya kuhoji
Jee kumezidi nini ndani ya tzdaima?
Jee chadema Ikipata tv yake, mambo yatakuwa kama haya ya tzdaima? na kwa faida ya nani?
 
Mwendelezo uleule wa udini..ipo siku mtakuja kujutia waulizeni wenzenu wa Nigeria..
 
mbona hueleweki wewe. so unalalamika gazeti kutoandika habari fulani. Uliwalipa? acha udini we zumbukuku.
 
sijaelewa tatizo ni tanzania daima kutoripoti au wewe kukosa habari kupitia tanzania daima.?
 
baada ya kumaliza vurugu huko Zanzibar, magazeti yote yalielekeza macho na kalamu yao huku TZBARA.
ukiangalia magazeti mengi, harakati za taasisi za Kiislam kama BAKWATA na jumuia za kiislam nyengine zilizokuwa katika harakti zao kama taasisi nyengine za kidini. Ukisoma nipashe, habarileo, majira, mwananchi, Mtanzania, uhuru, Jamboleo, Majira yamejaribu kuonyesha angalau nini kinaendelea
Palikuwa na Kongamano kubwa hapo Diomond Jubilee kuhusu Katiba mpya, sensa, sakata la Necta na hali ya Zanzibar.
kwa bahati nzuri magazeti yote yalitoa taarifa hizo kwa mtazamo wao.
Lkn TZDAIMA Licha ya kuwa na waandishi wengi kama waliowatuma ZANZIBAR, haijawhi kutoa au kupasha habari zinazohusu waislam tangu kumaliza Sakata la Uchomaji wa Makanisa ambapo gazeti hilo lilikuwa ni moja ya magazeti ACTIVE ktk swala zima la Zanzibar.

MTAZAMO WANGU
Binafsi naamini kila gazeti linamtazamo wake wa kutoa na kupasha habari, ndio maana Magazeti kama Msemakweli, Kiongozi , annur na Kisiwa yanajulikana jinsi ya wanavyotoa habari yao
Lkn magazeti yanayojulikana sio ya Kidini linapotokea tukio kama hili pana haja ya kuuliza.
INGALIKUWA tzdaima haihandiki maswali ya taasisi kidini hapa pangalikuwa hakuna haja ya
Kuhoji.LKN tukio la Zanzibar ilivyolemea kuna haja ya kuhoji
Jee kumezidi nini ndani ya tzdaima?
Jee chadema Ikipata tv yake, mambo yatakuwa kama haya ya tzdaima? na kwa faida ya nani?

Bofya hizo links hapo chini. Hizo ni baadhi tu ya makala zenye nguvu zilizochapishwa na hilo gazeti kuhusu machafuko ya waislamu wa uamusho huko Zanzibar

Uamsho wamewasha moto mchafu

Ni rahisi kwa Wazanzibari kutoka kwenye muungano bila malumbano

Zanzibar, Ukraine na Poland

Ubaguzi utaitafuna Zanzibar kama mchwa

Rais Kikwete, hili la Zanzibar ni lako
 
mbona hueleweki wewe. so unalalamika gazeti kutoandika habari fulani. Uliwalipa? acha udini we zumbukuku.
mentality zao ni kama wale wamama wa uswazi na mata.ko yao ya kichina wanaojipitisha mtaani na kanga moja ili kila mtu awaone...jamaa na wenyewe wanapenda wasikike ,waonekane, waandikwe hata kama wanafanya madudu...wakijiona kwenye gazeti kwenye picha za maandamano huwa wanajisikia raha sana kwenye vijiwe vyao vya kahawa....
 
Bofya hizo links hapo chini. Hizo ni baadhi tu ya makala zenye nguvu zilizochapishwa na hilo gazeti kuhusu machafuko ya waislamu wa uamusho huko Zanzibar

Uamsho wamewasha moto mchafu

Ni rahisi kwa Wazanzibari kutoka kwenye muungano bila malumbano

Zanzibar, Ukraine na Poland
Ubaguzi utaitafuna Zanzibar kama mchwa

Rais Kikwete, hili la Zanzibar ni lako
haya mbona yameelemea zaidi kanisa? kwani hili ni gazeti la KANISA? kumbe madai ya waislam TZDAIMA hayahusu? ndio msimamo wa mmiliki?
 
Kosa la tz daima lipo wap? Kwani mnafanya madudu ya kipuuzi na kupoteza muda diamond jublee kwa madai ambayo yamekwisha tolewa maelezo alafu mnataka muandikwe magazetin? Huo ni upofu wa kufikiri.
 
Kila kitu ni udini ebu angalieni vitu objectively sio always being subjective because it is already in your mind kwamba dini furani yina baguliwa.

Kila wakati mkiendelea mijadala hiyo hiyo mnapadikiza udini dani ya jamii.
 
kosa la tz daima lipo wap? Kwani mnafanya madudu ya kipuuzi na kupoteza muda diamond jublee kwa madai ambayo yamekwisha tolewa maelezo alafu mnataka muandikwe magazetin? Huo ni upofu wa kufikiri.

tzdaima lakanisa? Maaana ilikuwa bizzz kuchomwa makanisa
 
Kukizungumzia sana kitu nayo nisababu ya kuchochea,safi sana tzdaima. Unapenda watu tuendelee kuzungumzia udini tu kila siku. Kuna mambo mengi ya kuandika siyo kila siku uchomaji wa makanisa au uamsho.hujui kuandikwa kila siku habari za udini zina leta chuki mbaya baini ya watu?

BOKO HARAMU BWANA
 
baada ya kumaliza vurugu huko Zanzibar, magazeti yote yalielekeza macho na kalamu yao huku TZBARA.
ukiangalia magazeti mengi, harakati za taasisi za Kiislam kama BAKWATA na jumuia za kiislam nyengine zilizokuwa katika harakti zao kama taasisi nyengine za kidini. Ukisoma nipashe, habarileo, majira, mwananchi, Mtanzania, uhuru, Jamboleo, Majira yamejaribu kuonyesha angalau nini kinaendelea
Palikuwa na Kongamano kubwa hapo Diomond Jubilee kuhusu Katiba mpya, sensa, sakata la Necta na hali ya Zanzibar.
kwa bahati nzuri magazeti yote yalitoa taarifa hizo kwa mtazamo wao.
Lkn TZDAIMA Licha ya kuwa na waandishi wengi kama waliowatuma ZANZIBAR, haijawhi kutoa au kupasha habari zinazohusu waislam tangu kumaliza Sakata la Uchomaji wa Makanisa ambapo gazeti hilo lilikuwa ni moja ya magazeti ACTIVE ktk swala zima la Zanzibar.

MTAZAMO WANGU
Binafsi naamini kila gazeti linamtazamo wake wa kutoa na kupasha habari, ndio maana Magazeti kama Msemakweli, Kiongozi , annur na Kisiwa yanajulikana jinsi ya wanavyotoa habari yao
Lkn magazeti yanayojulikana sio ya Kidini linapotokea tukio kama hili pana haja ya kuuliza.
INGALIKUWA tzdaima haihandiki maswali ya taasisi kidini hapa pangalikuwa hakuna haja ya
Kuhoji.LKN tukio la Zanzibar ilivyolemea kuna haja ya kuhoji
Jee kumezidi nini ndani ya tzdaima?
Jee chadema Ikipata tv yake, mambo yatakuwa kama haya ya tzdaima? na kwa faida ya nani?

sorry man but this is CR.AP! :A S thumbs_down: najaribu sana kutetea waislam na uislam JF lakini mnapoleta pumba kama hizi nguvu zaisha! coverage ya media haituhusu waislam kwani tuna medias zetu zina tosha kabisa ...

Back
Top Bottom