Ombi: CHADEMA andaeni mkutano Jangwani part 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi: CHADEMA andaeni mkutano Jangwani part 2

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SIR JAPHET, Jun 9, 2012.

 1. S

  SIR JAPHET Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu viongozi wa kitaifa wa CHADEMA, wananchi wapenda nchi ya Tz wanaomba muandae mkutano Jangwani awamu ya pili ili mseme umaskin mlio uona kusini mwa Tanzania katika M4C.

  Pia mtusemee kero zetu kwa serikali. Hali inatokana na CCM kushindwa kujibu kero za wananchi wa Tz leo Jangwan.

  Watanzania hawahitaji takwimu za kitaalamu, wanahitaji kusikia wananufaikaje na raslimali za taifa, serikali kushusha bei za bidhaa,foleni za magari, umeme wa mgao, mishahara duni n.k
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Haturudi nyuma kamwe na tunasonga mbele, bado kuna mikoa mingi ina kiu so acha CDM iendelee mbele ili CCM wazidi kucheza ngoma yetu.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Bado tuna tanga, morogoro nk hatujapita, dar washapata dose inayowahusu that y wakakopi.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  sie twaenda mbele bwana haturudigi nyuma kazi hawa mgamba wanayo mwaka huu
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huko unakosema maskini, huko ndiko uliopo utajiri wa Tanzania, ngoja miaka miwili mitatu kama hujaona wachagga wanajazana huko. Hata dhana ya Jamhuri ya Kaskazini mtaisahau.
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hayo yote mbona Leo yamepatiwa majibu na kwa ufasaha kabisa, au nyie ndio wenye macho ambao hamuoni, wenye masikio ambao hamsikiii?
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tuliiwaambia dar ina wenyewe jamani mkabisha, Leo mmefanywa kitu mbaya Katu hamtasahau
   
 8. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  CHADEMA hufanya tofauti sana na mawazo ya ccm, kila ccm wanalotegemea CHADEMA walifanye huwa halitimii, hii ndo huifanya CHADEMA isonge mbele daima
   
 9. B

  Bob G JF Bronze Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni muhimu wakafanya mkutano haraka wakimaliza kusini,
   
 10. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  ...dar haina wenyewe km unavyotaka kutuaminisha haa!...na kwenye mkutano cjaona umati wa kutisha ambao unaweza kushinda cdm,as long as nilikuwepo eneo la tukio....
   
 11. S

  SIR JAPHET Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oh!!!!!!!!my friend ur very genius with ur party ccm,ivi leo hapo jangwani mmejibu kero zipi za watanzania wenye hali duni kimaisha?u just mentioned idadi ya barabara,mji mpya wa kigamboni wenye utata.maendeleo ya tz na watanazania hayaendani na miaka yakuzaliwa kwa taifa la tz.talk of the balance of payment.inflation rate,gdp ya tanzaina ikoje?.hakika leo mmejuuta kuiga mikutano ya hadhara.nimeamini mfa maji haachi kutapatapa.kumbukeni wadanganyika wanaelimshwa na m4c kila siku.
   
Loading...