Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikisikia namna watanzania wanavyohujumiwa na shirika lao la umma, Tanesco. Leo yamenikuta. Baada ya kulipia gharama zote za kuunganishiwa huduma ya umeme kwa zaidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NEWS The Chinese were prepared to complete the building in nine months..." According to a source. By JOSEPH MWAMUNYANGE Posted Saturday, June 9 2012 at 13:29 Tanzania stands to lose the...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Posted on June 10, 2012 by zanzibaryetu Nobody in his right mind would condone the torching of churches and shops in Zanzibar last weekend. But it is a great shame that so many, including some...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Labda mie mzembe, na uzembe huu umechukua sura mpya hasa kukengeuka katikati ya mambo makuu yanayohitaji umakini mkubwa! Niliambiwa na kuona kwa macho mabango mengi kila pembe ya jiji la...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
http://www.mzalendo.net/habari/video/videokwanini-tusiirejeshe-jamhuri-ya-watu-wa-zanzibar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
".....Ikiwa watu wa Zanzibar bila ya kuingiliwa na watu wa nje na ikiwa wana sababu zao ,wakaamua kuwa Muungano umekua kero kwao kwa maisha yao na kwamba hauna maslahi na wao ,sitowalazimisha...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Video ; Baadhi ya ukweli kati ya ukweli uliyojificha machafuko Zanzibar | Mzalendo.net
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu. Ule moto wa kujibu papo kwa papo wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu umeishia wapi kwenye tuhuma alizomwaga Lema kujibu hotuba ya mkuu wa kaya? Kama kuna mwenye taarifa atujuze maana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mh. Membe amezungumza maneno ambayo hayapendwi kusikika yakitamkwa na kiongozi ambaye mwenye dhamana kama ya Membe kwa wat wa CCM.Hii inatokana na kuwa wao wanafikiri watatawala milele na...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Mzee RASHIDI MAKANI...(R.I.P) NI PIGO PIA KWA MCHEZO WA SOKA Akiwa kijana na mwanafunzi wa tabora school alionyesha kipawa cha hali ya juu kwa kucheza mpira...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. 2. 3. 4. 1. Hii ni picha inayoonyesha kadi za cdm zilizorudishwa jangwani leo huku nyingi zikiwa hazina picha na bado mpya. 2. Moja ya kadi ya cdm iliyorudishwa leo jangwani huku...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
Wakuu Salaam; Siku ndio hivyo zimewadia na kile kikao muhimu cha kuijadili nchi yetu Tanganyika kinaanza kesho kutwa (12/06/2012) huko Bungeni ambapo bajeti kuu ya nchi na mambo mengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kufunga kwa mkutano wa CCM jangwani ulitokea ugonvi mkali baina ya CCM wao kung'ang'aniana pesa walizokuwa wamepatiwa.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Taarifa nilizozipata ni kuanzishwa kwa chama kipya cha nguvu ya Umma ambapo inasadikika viongozi wake ni mbunge aliyetimuliwa kutoka NCCR mh. kafulila. maana ya kukiita nguvu ya umma ni kwasababu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Prof Saitoti is no more. Breaking news Citizen TV. Cause of death-plane crash
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Naomba nichukue nafasi hii kuwaarifu viongozi wetu wote wa chama ndani ya Dar na nje ya Dar es salaam kushusha bendera nusu mlingoti kufuatia kifo cha Mkt mstaafu Bob Makani, Kwataarifa zaidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilipokuwa njiani kati ya Mafinga na Iringa mjini gari lilisimama na wachuuzi wakafika mara. Walikuwa wakiuza mazao mbali mbali lakini kundi la wauza nyanya lilikonga nyoyo yangu huku nikiwa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mambo ya kujikweza CCM yalianza zamani! Kumbuka hizi PhD za miezi 6! Dr Lawrence Gama, Dr Kiwanuka, Dr Salmin Amour, Dr Nagu, Dr Nchimbi, na hata nk.were hayuko nyuma Dr Jakaya.
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Ndugu zangu, SWALI ambalo mara nyingi nakutana nalo ni hili; ’Huogopi’? Swali hili linatokana na mambo niandikayo. Ukweli, kuna Watanzania wengi sana wanaishi kwa hofu. Ndiyo, hofu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
IMEDAIWA kuwa, serikali isingepaswa kuendelea kuomba msaada wowote wa fedha kutoka nje ya nchi, kama ingetekeleza mapendekezo ya bajeti ya kambi ya upinzani, yaliyotaka kupunguzwa kwa misamaha...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom