Nape anajua? : Kuongoza nchi zetu ni rahisi kuliko kuongoza multinational corporate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape anajua? : Kuongoza nchi zetu ni rahisi kuliko kuongoza multinational corporate?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Jun 10, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Nasikikitika kusikia kelele za Nape na CCM as if CCM imefanya makubwa au hata ina the MOst Brilliant Minds. maneno yake kuwa .....CCM itaendelea kutawala....kwa vile wapinzani hawajajipanga...sijui na upuuzi gani?..
  SOUNDS LIKE DEATH penalties to millions of Tanzanians living today and the comming days.

  Cha kujiuliza? Huyu Nape pamoja na kuonekana kuwa rhetoric sijui alipewa viagra kidogo, alitumia nguvu (km si ya adrenaline basi ni testorone ya kuwekewa)zaidi ya brainpower. Je ni kipimo gani katumia kuja jibu kuwa wapinzani hawajajipanga?Kwa mamlaka gani kapewa ya kuwapa watanzania majibu ya wanachokiona?Kila mtu anaona , anasikia yanayofanywa na CDM, watu wamekuwa wakisoma kila siku CCM wakiweweseka .Mara ngapi Sumaye na wakongwe wengine wanaingia ktk malumbano na CCM kwa kuwaeleza ukweli,wenye link na CDM.

  Huyu Nape anataka wapinzani(Mpinzani CDM) wajipange vipi zaidi ya walivyo?Anajua kilichotokea Arumeru ni zaidi ya huo uongo waliozoea wa kusema kuwa ni "...siujui mnyukano wa ndani ya CCM...". ?Arumeru CDM walibana kila uwezekano wa CCM kupata nafasi hata ya wizi.Yaani by far CDM walikuwa tuu si washindi bali VERY SUPERIOR OVER CCM.

  Nape ajue mpaka leo CCM ndio hijajipanga kwa lolote, ndio maana hawapo synchronized kwa lolote.Kuanzia matamshi yao kwa umma, matendo yao, na hata jinsi wana ANALYSE ACHIEVEMENTS NA FAILURES.

  Nape ajue kuwa vijinchi km Tanzania kuviongoza bado ni rahisi kuliko kuongoza makampuni km MONSATO, GOOGLE na hata Facebook, achilia mbali km akina Barricks waliopo uani kwetu.Nchi inaongozwa na chama chenye watu dhaifu kifikra namna hii na bado panakucha na kuwepo na survivors kibao.

  Nape ajue kuwa Kampuni km Google wana vita nyingi , na zinaongezeka kwa wingi na bado dira za makampuni zinaendelea.Google km mfano, wana wapinzani wa kibiashara, wana wapinzani wenye nguvu km serikali za mataifa makubwa yanayoogopa watu kuelimika na kupata habari(km serikali ya CCM kazi kufungia magazeti), wanatakiwa washindane na makampuni ya tafiti ili waje na wawazo mapya, wanapigana ktk copyrights, wanapigana kuhusu haki za binadamu na very challenging kwani kila siku wanapaswa fanya maamuzi "panapokuwa na mutually exclussive events", mfano kati ya biashara na haki za bianadamu na wanajitahidi balance. Nape anatuambia CCM imejipanga kwa lipi?Kati ya haki za Binadamu na Rushwa/Ufisadi ?CCM huwa wanapitisha rushwa hata bila kupata mtu wa kufikia alternative?


  Nape ajue kuwa hii nchi ni ya wote, na human respect ni part ya daily game, na ajue kiongozi bora ni yule anayeweza fanya maamuzi kwa kila kitu kabla hajasema, ajatenda huku akijiuliza km afanyacho, au kusema hakipingani na malengo muhimu ya kitaifa, hakipingani na haki kwa raia wote, hakipingani na tamaduni za mtanzania(common values), hazipingani na wajibu wa kiongozi, n.k. Nape ktik haya hajui kuwa CCM haina kiongozi wa namna hiyo.CCM ipo tayari kuhatarisha maisha, maslahi, na malengo ya watanzania kwa vitu vidogo tuu.

  Nape hajui /km si kudanganya kuwa kwa miaka yote CCM imekuwepo haijajipanga kwa kiasi cha kuwa Dira ya Taifa kwa miaka zaidi ya 20, wakati mataifa makubwa yana miaka 200 ijayo.Ndio maana Waingereza walianzisha makoloni dunia nzima, na sasa wao na makoloni yao wanangalia anga za juu kuweza pata makazi mapya ya wanadamu dunia ikiwa haikaliki tena.CCM hawana hata mipango yao binafsi wakiondoka km wata survive siku 2 matokeo yakitangazwa.

  Nape hajaona hali halisi kuwa mpaka sasa watu wanafikiri si kuindoa CCM bali kuzuia madhara ya CCM.CCM imeharibu fikra za watu.Leo watanzania,Nape.... hadi rais wao mwana CCM namabri one, hawajui kwanini nchi ni masikini.Hawajui wasemalo wala watendalo kwa vile hawana reference yoyote.CCM bado hawezi ona wala amini kuwa uwepo wao unaangamiza malengo , mipango, imani, tamaduni, na hata juhudi za familia nyingi za kitanzania.

  Nape plse km hujui utendalo jitoe hapo ulipo na si kuendelea damage nchi,hutakuwa na excuse wenye nchi watakapokuwajibisha personally.HIVI KM KUNA SHERIA YA KUMLIPISHA ANAYEBOMOLEWA JENGO KTK ENEO LISILOTAKIWA, KWANINI HAKUNA KWA AJILI YA WATU KM AKINA WASIRA,NAPE NA OTHER SOCIAL CRETINS in the governemt walioamua kuzima Mbongo.

  Naomba sana Nape asije tueleza kuwa anatumia, (redbull, viagra and the sort )kiasi cha kuharibu hormonal balance kiasi cha kufikia hapa,kila mwana CCM yupo naive and over exited.

  Haiwezekani nchi ikaendeshwa na watu waaoishi kw akutumia energy enhancers(Viagra, na dawa za kienyeji,...) baadaya ya kutuibia sana kula bila busara , hadi wakapa matatizo ya kiafya.

  NAPE NAKUHAKIKISHIA KUWA UNAYO BAHATI....SIJAWA KTK MAMLAKA NINGEWATANDIKA VIBOKO HADHARANI VYA KUTOSHA+KUINGIA KM MAGEREZA MACHAFU MLIOWAJENGEA WATANZANIA.NA SI WEWE TUU HADI RAIS WAKO.:boxing:
  WEWE NAPE ULISHWAHI WANYA KAZI NA KULIPA KODI (KABLA YA KUPOKEA MASHAHARA) NA MAFAO KM MNAYOIBIA WATU?bADO MNAKUFURU KWA MUWAIBIAO.
   
Loading...