Tuache kuwaabudu wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache kuwaabudu wanasiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Annael, Jun 10, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,345
  Likes Received: 10,450
  Trophy Points: 280
  Hii si Muchezo: Katika utafiti wangu mdogo nimegundua watu hapa nchini wanawaabudu wanasiasa.
  Wengine wanaabudu kwa kujua lakini wengine matendo yao tu yanashuhudia kuwa wanawaabudu.

  Hao wanasiasa ni watu kama sisi tu, wanaakili kama sisi, wanahitaji kula kama sisi. Hawawezi hata siku moja wakawekwa katika kiwango cha yote katika yote.

  Eti wao wakisema chochote tukubali? Tusiwaweke kuwa wenyewe ndio mambo yote. Sometimes wanachemsha na wale wanaowaabudu wanajikinga kwa kusema hao ni watu makini.

  Umakini gani bwana huo, kama kaboronga kaboronga tu. Kuna mifano mingi tu ya wanasiasa. Haijalishi upinzani au tawala.

  THE TRUTH SHALL SET YOU FREE.
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii imeota mizizi ktk nchi iliyoonyozwa na chama kimoja cha siasa tangia uhuru mpaka sasa kama ilivyo ccm Tz!
   
Loading...