Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa njaa, Jun 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi..

  Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi ni sera ya CCM?

  Mbona huyu Nape anaporomosha matusi jukwaani pale Jangwani Chadema Square.


  Source: Live ITV.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwa maana Nyingine kawatukana waislam hiyo ni mbaya mno tena sana analeta udini ?
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mh!.........

  Ndio tamko hilo waliosema watalitoa?
   
 4. H

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  wanapojitambulisha na kusema...ccm oyeee, natamani kutapika, kwasababu wanaigiza vilevile kipindi cha nyerere walipokuwa wanazunguka kutufumba akili....inakera hadi nimezima tv.
   
 5. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nape hujui kama ni mkiristo? wakiristo wote ni lao moja. angalia hapa JF tu
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Waislam wamevuliwa nguo jangwani na Nape
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mwenye live link aisee tupate vitu straight kutoka toilet?
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Vipi mkuu unazungumziaje kauli ya Nape dhidi ya waislam?
   
 9. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  ni kitu gani kilichokufanya ukafikiria uislam na ukristo?kwa mpagani hafai kuwa kiongozi?je angetamka kingunge hivyo mngesema ni dini gani?
   
 10. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikia amewashukia wanaipinga necta hapo jangwani.anasema atailinda kwa nguvu zote . Ametupia lawama uamsho
   
 11. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ccm hawazitaki kura za waislam
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  hata mimi nimesikia this is loss of reputation to muslims. Take my word.
   
 13. d

  dandabo JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Acheni udini! Mnawaza kama kuku?
   
 14. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha kupotosha nukuu alichokisema vizuri na maudhui ya hoja yake, sababu kama Uamsho wanawakilisha waislam na kuleta vurugu pamoja na kuchoma makanisa kwa kuupinga muungano mbona Jumuiya ya kiislam inayotambulika Kitaifa wamewapinga na kupinga vitendo vyote viovu vilivyofanywa na Uamsho kwa kisingizio cha kuupinga Muungano. Na ndio maana Nape akawafananisha na waharifu wengine kama majambazi na hivyo vyombo vya sheria viweze kuwachukulia hatua kama waharifu wengine kulingana na makosa yao.

  Acha kupotosha, tupo hapa tunafuatilia kwa umakini mkutano huu unaogusa kila kada ya mtanzania, kuanzaia vijana, wakina baba, kina mama na wazee
   
 15. H

  Hute JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  kwani wanauamsho wanawakilisha waislam? wanawakilisha uislam? kwani muislam akifanya jambo la kipumbavuuu huwezi kumwambia ni mpumbavuuuu, mwislam hata akifanya jambo chafu hutakiwi kumwambia vibaya kwasababu utakuwa umewavua nguo na waislam wengine au utakuwa umeuvua nguo uislam? kama ndo hivyo basi dini ya kiislam ni ya fujo ya ujambazi kama ule wa uamsho zanzibar kama kweli hao ndio wawakilishi wa dini yetu...hoplesss creature!
   
 16. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape ni mkiristo, unadhani atatumikia nini kama sio kanisa lake? Huoni msalaba mkubwa shingoni. M,bona hasemi necta?
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tume ya katiba sasa Uamsho ni kikundi cha magaidi majambazi wala Nape hataki kura za Waislam sisi CDM kura za Waislam tunazitaka kwasababu dini zote tunaziheshimu
   
 18. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Itakuwa hivyo iwapo tu kama Waislamu wote Tanzania (Bara+Visiwani) ni UAMSHO
   
 19. n

  nsami Senior Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu unategemea tamko gani kutoka kwa huyo anayejipakaga calorite tena hapo kajitahidi sana kule mwanza aliwaambia wananchi atawashikisha ukuta!!
   
 20. a

  andrews JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [h=2][​IMG] ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
  KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...