Tuwaombee viongozi wetu tuache ushabiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwaombee viongozi wetu tuache ushabiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Annael, Jun 9, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,345
  Likes Received: 10,454
  Trophy Points: 280
  Jamani huu ni wakati wa kumkumbuka MUNGU na kuwaombea viongozi wa nchi yetu ili MUNGU awape HEKIMA na MAARIFA.

  Tuacheni ushabiki wa vyama ambao hauna tija yoyote.

  Kumbuka:
  Kila Mamlaka iliyopo imewekwa na MUNGU.

  Kwakuwaombea MUNGU atatubariki na kujiepusha na migogoro iliyopo.


  Bila kumtegemea MUNGU si CCM,CDM,CUF au chama chochote kitaweza.
  Hata kama tunawachukia tuwaombee.
   
Loading...