Ombi kwa viongozi wa chadema kabla ya bunge dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi kwa viongozi wa chadema kabla ya bunge dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by michaeljuma1986, Jun 10, 2012.

 1. m

  michaeljuma1986 Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nawaombeni viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo kufanya mkutano mkubwa hapa dodoma kabla ya bunge,ila wakazi wa dodoma nao waweze kushiriki ktk m4c kwa kufanya hivyo tutaamsha walio lala.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Dodoma mkuu wangu hawa watu sijui wakoje wagumu kubadilika
   
 3. zam's son

  zam's son Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Ni kweli m4c inahitajika dodoma!pale ni centre panahitaji gwandaz!
   
 4. p

  pilu JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono 100% ,wewe kweli ni great thinker!
  Naamini watalifanyia kazi kwakua viongozi wa chadema ni wasikivu haswa kwa mambo yanayojenga na yenyemanufaa kwa Watanzania.
  Watu wadodoma wana kiu mno na M4C.
   
 5. p

  pilu JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sikubaliani na wewe nadhani umekariri, lazima ujue kila siku ipitayo kuna watu wanabadilika kifikra, kwani nani alitarajia kuona mabadiliko makubwa namna ile pale Mtwara na Lindi, hivyo ni vema ujue Dodoma kila siku inabadilika usitazame historia!
  Kumbuka hakuna apendaye shida Dodoma nao wanapenda maendeleo , ni wakati mzuri wa kufikiria kuipeleka M4C Dodoma kwa hakika!
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nadhani baada ya kusini inafuata kanda ya kati
   
Loading...