Huduma ujapo CHADEMA Square (Old Jangwani) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma ujapo CHADEMA Square (Old Jangwani)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by English Learner, Jun 9, 2012.

 1. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Uchungu wa Lift Co. Ltd inayo furaha kuwatangazia wananchi wote watakaorubuniwa na kudandia lift kuja CHADEMA Square kuwa tutatoa huduma zifuatazo:

  1. Maelekezo ya kulijua Jiji
  2. Matangazo ya kuwaunganisha watakaopoteana na watoto na jamaa zao
  3. Usafiri wa kurudi nyumbani kwa gharama zako mwenyewe

  Tahadhari:
  Kama ulikula, ukanywa bure na kuvimbewa; haja ndogo na kubwa mjini zinalipiwa. Hakuna mlo wa mchana wa bure dunia ya leo!

  Karibuni sana kulijua Jiji.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo yaonyesha na ww umevutiwa umeenda jangwani mapemaaaa, hongera sana !

   
 3. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ndiyo..kafiri mbaya, kiatu chake dawa! Siwezi kuiacha shilingi...nakimbiza shilingi na nikiipata hata kabla CDM hawajaitaka naiwapelekea.
   
 4. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Waambieni ndugu zetu waliopotea, walioachwa na magari, waliosahau makwao, waliopoteana na ndugu au kupoteza watoto kuwa bado tupo katika kutoa huduma.

  Wote wanakaribishwa!
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  chit chat
   
Loading...