Bubu naye ana haki ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania-hii nayo iwekwe kwenye katiba

ayubuchacha12

Member
May 8, 2012
19
7
:clap2:
UNAJUA SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI KWA KUANGALIA ANAVYOONGEA NA KUCHANGIA KIFEDHA SIO ZURI KWA SABABU UONGOZI SIO FEDHA WALA MANENO...UONGOZI NI KUTOA MAAMUZI SAHIHI...HII YA KUCHAGUA WATU WANAOJUA KUONGEA KUMEWANYIMA HAKI YA KUWA RAIS MA-BUBU WENYE IQ KUBWA!!!
 
Hata akiwa ni bubu ambaye pia ni kipofu pia hana mikono yote ana haki ya kuwa raisi.
Kazi ni pale wakati wa kuhutubia taifa
 
:clap2:
UNAJUA SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI KWA KUANGALIA ANAVYOONGEA NA KUCHANGIA KIFEDHA SIO ZURI KWA SABABU UONGOZI SIO FEDHA WALA MANENO...UONGOZI NI KUTOA MAAMUZI SAHIHI...HII YA KUCHAGUA WATU WANAOJUA KUONGEA KUMEWANYIMA HAKI YA KUWA RAIS MA-BUBU WENYE IQ KUBWA!!!
Ataombaje kura sasa?
 
Hata hayo maamuzi atakuwa anayatoaje?... nikweli wanadamu wote wana haki sawa lkn kiwete hawezi kucheza football.
 
Atakuwa anahutubia vipiwananchi wake??
Atakuwa anawekemea vipi Mawaziri na viongozi wanaokosea??
Atakuwa anatoa vipi maelekezo?
 
Kwa uhakika bubu hafai kuwa rais, si kwa ubaguzi wa walemavu bali hali yake itamzuia kutekeleza kwa ufanisi majukumu yake kama rais. Hata hivyo ulemavu wa viungo kama Ngozi, Mikono na Miguu haviwezi kumzuia mtu kuwa rais, labda kwa unyanyapaa tu. Tukumbuke kuwa kulikuwa na Rais Franklin Delano Roosevelt wa Marekani (March 4, 1933 – April 12, 1945) aliyekuwa na ulemavu wa MIGUU aliongoza vizuri sana, ikiwemo kuwapitisha wamarekani ktk wakati m:madgrin:wa kupigana vita vya pili vya dunia. Hata King Tutankhamun aliyetawala Misri na kufariki mwaka 1324 B.C alikuwa ni mlemavu aliyekuwa anatembea kwa mkongojo hakuna na tatizo katika kutawala. Hivyo basi kuna baadhi ya ulemavu ukiwemo BUBU, KIZIWI ni changamoto kubwa mno kumruhusu huyu muathirika kuwa Rais.
 
Back
Top Bottom