Hivi huyu EL anayetaka kuwa rais kwa gharama yoyote ana nia njema na nchi hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu EL anayetaka kuwa rais kwa gharama yoyote ana nia njema na nchi hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muarubaini, Jun 9, 2012.

 1. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwalimu alisema Ikulu sio sehemu ya kukimbilia, ila cha kushangaa mtajwa hapo juu anautaka urais kwa nguvu zote.

  Kama nia ni kusaidia nchi naamini kwa nafasi yake alio nayo anaweza tu sio mpaka awe rais.

  Jaman watu wanaotaka ikulu kwa gharama yoyote ni kuwaogopa kama UKIMWI.
   
 2. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  wewe ulishawahi kumsikia wapi katangaza nataka URAIS acha tabia za waiba taarabu.
   
 3. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongo husambaa nusu ya dunia kabla ukweli haujamaliza kunawa hata uso asubuhi...we mwongo,badilika!!!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  Lowassa bwana, mi simuelewi. Kwanini hela anazo mwaga makanisani asianzishe mfuko wa kugharamia matibabu? Mi nadhani ingemsaidia zaidi kuikaribia ikulu
   
 5. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najua kanunua mavuvuzela mengi kama wewe
   
 6. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dhibisha, acha kukurupuka, kamawe uso kwanza
   
Loading...