Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia...
LITAKALO KUWA NA LIWE.....hii ndio kauli ya serikali juu ya mgomo wa madaktari, nauliza jee Serikali ina mkono wake juu ya kutekwa huyo daktari? mana mm sielewi na sioni mantiki ya yule shushushu...
Mnyika: Kikwete ni dhaifu, serikali ni dhaifu.
Bajeti vurugu tupu
Mgomo wa Madaktari
Jaribio la Kumwua kiongozi wa Madaktari - Ulimboka
Mabilioni ya fedha yanayomilikiwa na vigogo serikalini...
Kwa hapa tulipofikishwa na serikali zetu ni sehemu ambayo sisi wananchi kama wananchi tukae chini na kujiuliza ,tunasubiri nani atuondolee tatizo hili , la watu kutekwa kupigwa na kuumizwa...
Ndivyo historia ya aibu kubwa itakavyowekwa leo pale serikali ya JK itakapowafukuza madaktari wote wanaogoma wakidai hak na stahili zao huku serikali ikishindwa kuwalipa kutokana na ufisadi...
Wakati chama cha ukombozi CDM kikiendele kutoa elimu ya uraia ili kuwatoa utumwani watanzania natoa ushauri kwa kijana Bw Julius Mtatilo asome alama za nyakati. Kama magamba wasema ccm sio baba...
Udhaifu ni kitu kibaya sana, udhaifu ndani ya nyumaba huzaa nyumba legelege na yenye wasiwasi!!! mahesabu ya kukatisha maisha ya kiongozi wa madaktari nchini ni moja ya udhaifu wa serikali yetu...
Serikali iliyoko madarakani imechoka kwa kila hali na zaidi uwezo wa kufikiri kwa sababu hawana mbinu mbadala za kutatua matatizo yanayo likabili taifa hili. Suala la madaktari wameona mbinu ni...
Jane Omary (kulia) mwanamke aliyepigwa na mumewe kwa sababu ya kujiingiza kwenye masuala ya siasa na kudhoto ni Flora Lucas diwani viti maalum kata ya Ijombe Mbeya vijijini aliyeachwa na mume wake...
Hivi huyu waziri wetu mkuu haya matamko anayatoa wapi?anaandaliwa au nayaandaa mwenyewe?Na anajua madhara yake hasa anapodeal na wasomi wanaotambua wajibu na haki zao?Hajui kwamba hakuna...
Kama itakumbukwa vizuri, yule M/kti wa CDM aliyechinjwa kule Arumeru, kabla kuuawa, kuna mtu alikuwa akimtafuta, akapigiwa simu, ilikuwa usiku, akaenda ndipo akafikwa, simu yake tu ndio...
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali.
Kazi inaendelea mpaka kieleweke.
Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook...
"Liwalo na liwe" ni kauli ya waziri mkuu, ni kauli inayoonesha kuwa selikali itaamua maamuzi magumu ktk utatuzi wa mgomo wa ma dr.
Niitahadharishe selikali kuwa makini ktk maamuzi...
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa...
Awali niseme tu pole kwa Dr. Ulimboka, mtetezi wa haki ya wanyonge:
wa hospitali zetu na hata wa hali ya wafanyakazi ya idara ya afya.
Inasikitisha kwa yaliyompata.
Inasikitisha zaidi kuona...
Wakuu poleni kwa maisha magumu kwa kila mtanzania,poleni madaktari kwa kiongozi wenu kufanyiwa unyama.
Naamini kabisa JF one day itaandikwa kwenye vitabu vya kumbukumbu vya ukombozi wa taifa...
Mimi bamekaa na kufukiria kwa sana, na bila mutatizo mukubwa na kutumia muda muwingi nalikuja kusha kufahamu kuwa Bantu ba Tanzania ni waoga kweli. Bantu ba Tanzania banapenda kulonga kwa mudomo...
Wizara ya mawasiliano na miundo mbinu imesema inatafuta njia mbadala za kukwepa gharama kubwa za ujenzi wa bandlari mpya eneo la Mpigaduri zinazofikia dola za Marekani milioni 800.
Akijibu...
Ndivyo kawaida ya serikali zote zilizoishiwa direction na kushindwa kujibu hoja. Hukimbilia shot cuts, wanavyofikiri inawasaidia kumbe ndiyo wanazidi kujipeleka korongoni.
Naona ukombozi is just...
Leo mjengoni wwakati mh kiwia wa ilelemela akieleza jinsi alivyotaka kuuwawa na kusema kuwa gari la maria hewa wa ccm lilikuwa eneo la tukio, akasimama nchemba kutoa taarifa kuwa eti hata pale nje...