Bantu ba Tanzania ni kati ya waoga duniani

svc

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
429
157
Mimi bamekaa na kufukiria kwa sana, na bila mutatizo mukubwa na kutumia muda muwingi nalikuja kusha kufahamu kuwa Bantu ba Tanzania ni waoga kweli. Bantu ba Tanzania banapenda kulonga kwa mudomo sana lakini mutendo ni hakuna. Hivi ni kwa nini? Kelele muwingi lakini hakumna kitu hata moya banafanya kwa matendo. Hivi hii Tanzania ni nchi ya mwanawake tuu?
 
Back
Top Bottom