Mwigulu analeta utani kwenye maisha ya KIWIA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu analeta utani kwenye maisha ya KIWIA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Deo Corleone, Jun 27, 2012.

 1. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,655
  Likes Received: 2,517
  Trophy Points: 280
  Leo mjengoni wwakati mh kiwia wa ilelemela akieleza jinsi alivyotaka kuuwawa na kusema kuwa gari la maria hewa wa ccm lilikuwa eneo la tukio, akasimama nchemba kutoa taarifa kuwa eti hata pale nje bungeni eti gari lipo then ndugai anacheka tu. kiwia akasema kuna watu wanafurahia matatizo ya watu then akaendelea kuchangia. sasa hii mutu inasimama na kuchekacheka anamanisha nin? poor first class economist
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni wauawaji, CCM. So Mwigulu na hizo pumba zake haoni kama anatibua nyongo ya wana-CDM na watanzania kwa ujumla dhidi ya shambulio ambalo huenda lilikusudia kuto uhai wa wabunge wawili wa CDM.

  Kabla hawajajibu hilo tayari wanashutuma nyingine nzito tu ya kuteka, kudhuru na (kusudio la kuua) Dr. Ulimboka.

  CCM Wasifikiri kufika 2015 ni formality, ccm na Kikwete wanaweza wasifike kwa mwendo huu, na sijui huyu mzinzi ataficha wapi uso wake kama fuko!
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Mwigulu ni mgoni tu. wananchi wa Iramba magharibi wamepata hasara!
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nchemba mimi alichefua toka nilipogundua ni mwongo na anaependa sifa za kijinga
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  watu wenye akili timamu wanaotokea tabora ni wa kuhesabu.
   
 6. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jibu kwa hoja acha taarabu
   
 7. h

  hacena JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ndugai ana matatizo ya kimsingi, hawezi kuwa balance kwa sababu ana uwezo mdogo wa kufikiri
   
 8. kimbangu

  kimbangu Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Kwakweli huyu mheshimiwa anaharibu kabisha picha ya tabora na watu wake
   
 9. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Dhaifu..
   
 10. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ooooh..... Poor Economist
   
 11. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,655
  Likes Received: 2,517
  Trophy Points: 280
  huyo ni wa singida mkuu
   
 12. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,313
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Sio yeye yule alikuwa "a" score katika field ingine ya sheria.
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Veve Nyanda, Shindo lyako.... hehehehee...!!!! Sasa hapa Mwigulu, Mbunge wa Singida anaingiaje kuwa wa Tabora?

  Au kwa sababu alifanyia UGONI wake Tabora/Igunga?

  Nakuona siku zote unatutafuta sana Wadakama. Haya wee endelea tu. Sijui tulikuchukulia Nani wako!!!

  NOYAGA.
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Naihofia kauli yako mkuu!
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hilo siyo tatizo. Hata kama SISI wa Tabora wote tusiwe na akili timamu.

  Tatizo hapa ni kuwa Mwigulu Nchemba ni mtu na Mbunge wa Singida kwa ticket ya Magamba ya Njano na Kijani.
   
 16. K

  Koffie JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uzi umekaa ki-nafiki nafiki. Uzi dhaifu huu
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wamempiga ulimboka badala ya kupiga wazinzi
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  sasa mbona ana akili ndogo namna hiyo?
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ulebhudogo shi?

  wee hujui kama wanyamwezi ndo wanashiriki maandamano ya uamsho?
   
 20. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mh mwigulu "chemba" naye kwa vituko!! siku hizi amekuwa kama ze komedi wa bungeni
   
Loading...