Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika hili serikali iwe makini sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ninaweza, Jun 28, 2012.

 1. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 5,699
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  "Liwalo na liwe" ni kauli ya waziri mkuu, ni kauli inayoonesha kuwa selikali itaamua maamuzi magumu ktk utatuzi wa mgomo wa ma dr.

  Niitahadharishe selikali kuwa makini ktk maamuzi yatayochukuliwa kwani kuna uwezekano mkubwa maamuzi hayo yakachochea wauguzi nao kuingia ktk mgomo!
   
Loading...