Serikali ya CCM imeanza kuingia hatua kama Gestapo ya Hitler au Ton Ton Macoute ya Papa Doc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM imeanza kuingia hatua kama Gestapo ya Hitler au Ton Ton Macoute ya Papa Doc

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 27, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndivyo kawaida ya serikali zote zilizoishiwa direction na kushindwa kujibu hoja. Hukimbilia shot cuts, wanavyofikiri inawasaidia kumbe ndiyo wanazidi kujipeleka korongoni.

  Naona ukombozi is just round the corner ingawa hawa ma-thugs wa CCM wako tayari kuuwa wengi tu wengine.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Au iliyokuwa Stasi ya East Germany. Watz sasa tunaona thuggerynya hali yajuu. Nashukuru Dr amepona na atazungumza -- lakini hakuna guarantee, maharamia wa CCM wanaweza kummaliza pale pale hospitali ili asiseme chochote. Balali style!

  Go away CCM.. give us a break!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Eti serikali na wapambe wake humu ndani wanataka watuaminishe kwamba kuna wananchi wanaochukizwa na wanachokiita "kukosa uzalendo kwa madaktari" walimteka huyo Dokta na kumpa kipigo cha msimamo ili madaktari wengine waufyate.

  Eti hii kweli inawezekana? Hivi Watz tumefikia this low kuamini this kind of cheap propaganda?

  naiomba serikali ijaribu namna nyingine ya kutumwagia changa la macho.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi this kind of cheap thuggery serikali ya JK walijifundishia wapi? baba wa Taifa Mwl Nyerere should now be stirring in the grave! Angekuwa hai dogo angeuonea urais kwa mbali sana.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  The nation has entered a very critical passage in its history. We are now witnessing state terrorism per se!
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kadri watawala wanavyozidi kupoteza mvuto ndivyo watakavyo panga mambo mengi ya kihalifu kama tukio la leo. Kuna wanasiasa na watendaji serikalini na vyombo vya ulinzi na usalama wameliibia na kulihujumu taifa letu,hawa watatusumbua sana. Tusipokuwa makini,wako tayari kuliingiza taifa ktk machafuko ili wapate upenyo wa kutoroka mkondo wa sheria.
   
Loading...