SIASA: Le Mutuz bize kuwalamba miguu kina JK mpaka kieleweke

collezione

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
352
178
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali.

Kazi inaendelea mpaka kieleweke.
Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook kupiga majembe CHADEMA, na kuisfia CCM.

Hivi jamaa ametoka ulaya hakuna ishu nyingine ya kufanya. Mpaka kung'ang'ania cheap politics.

Ninapata shida kujua, all the years state alikua unafanya nini????
 
He doesnt know what he is doing! Poor him! He even doesnt know where the wind is browing!
 
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali.

Kazi inaendelea mpaka kieleweke.
Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook kupiga majembe CHADEMA, na kuisfia CCM.

Hivi jamaa ametoka ulaya hakuna ishu nyingine ya kufanya. Mpaka kung'ang'ania cheap politics.

Ninapata shida kujua, all the years state alikua unafanya nini????

Kwangu mimi huyu Bwana ni hasara kwa taifa. Faida yake siioni.Hatuwezi kumpa nafasi mtu anayeshinda kwenye makasino na kumbi za usiku.Mbaya zaidi kila uchwao ana upload picha za dada zetu wakiwa wamevaa vinguo vya ajabu ajabu. Nadhani anatakiwa abadilike awe na Leadership outlook. Sioni kama anapaswa kupigiwa chapuo kwenye suala lolote tena zito.

Wakati akiwa US niliona ni mtu makini ambaye hata Rais wetu JK angeweza kumpa nafasi hata zile za uteuzi lakini toka amefika bongo ni kama amekutwa na pepo la Night Tenant.Nahisi halali kwani kila nikicheck FB unakumbana na swaga zake za Night Clubs na picha za dada zetu wakiwa wamevaa nusu utupu.

Ushauri wangu kwa Le Mutuz (Kama kweli ana ndoto za siku moja kujoin politics) ni kufuta trend hii ambayo siyo siri baadaye itakuja kummaliza. Wasiwasi wangu hali hiyo ni kama inageuka kuwa tabia yake ya kudumu.
 
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali.

Kazi inaendelea mpaka kieleweke.
Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook kupiga majembe CHADEMA, na kuisfia CCM.

Hivi jamaa ametoka ulaya hakuna ishu nyingine ya kufanya. Mpaka kung'ang'ania cheap politics.

Ninapata shida kujua, all the years state alikua unafanya nini????

Yeah, in two weeks anagombea Uongozi upande wa CCM huko kwake Kivukoni; Lazima ajipendekeze

Anataka Madaraka kwa hali na Mali, anataka Ukubwa, heshima, kujiona kwahiyo na Hamjui Prince Vizuri anamjua

Yule Mtoto Mweka Fedha Miraji, yeye hana inside scoop za kutoa Madaraka... kwahiyo Kaanzia kuwa katibu Kata

Yaani CCM wabaya... Kwahiyo katoka ULAYA kuwa Katibu Kata KIVUKONI
 
Kuishi maisha ya kusubiri fadhila ni hatari jamaa anasubiri siku moja JK akipendezwa ampe kacheo
 
Hivi wazazi wanalelewa eeh? Hakuna mlezi wa jumuiya ya watoto wa ccm nichangamke na mie, shida za mjini zimeshanichosha!
 
jamaa kaja na strategy ya kujifanya mtu wa watu, mcheki kwa fb kila mtu ni best friend wake alafu mostly ni mabinti tu, anazunguka kuliko pikipiki za toyo kutwa kucha anadai anasocialize, namshauri atafute cha kufanya, hata umaarufu hautafutwi hivyo, hata uongozi haupatikani hivyo
 
jamani mwacheni ajiendeleze kisiasa, wabongo wakiwa wavivu tunalalamika wakiamua kuchapa kazi bado tunalalamika, bora hata yeye amerudi hao waliobaki huko US wanabeba maboksi tu
 
Katika siku ambazo nimewahi kucheka ni leo!!! Jamaa nazunguka tuuuu zaidi ya pikipiki za TOYO... Huwa anasemaga "William Experience"
 
habari wanaJF
Jamani huyu LE MUTUZ ni nani wengine wageni humu naomba msaada wenu nimjue mana nimemsearch fb profile yake iko private! msaaadaa jamanii!
 
habari wanaJF
Jamani huyu LE MUTUZ ni nani wengine wageni humu naomba msaada wenu nimjue mana nimemsearch fb profile yake iko private! msaaadaa jamanii!

Ni Futuhi mmoja hivi anapenda sana sifa na kujikombakomba kwa viongiozi ili apate channel ya maisha.

Yuko radhi kubinuka samasoti mbele ya viongozi wa CCM ili mradi apate umaarufu na sifa.
 
546586_3766986972446_1805915917_n.jpg
 
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali.

Kazi inaendelea mpaka kieleweke.
Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook kupiga majembe CHADEMA, na kuisfia CCM.

Hivi jamaa ametoka ulaya hakuna ishu nyingine ya kufanya. Mpaka kung'ang'ania cheap politics.

Ninapata shida kujua, all the years state alikua unafanya nini????

Tatizo Baba yake hapendwi na Rais Kikwete; Mama yake wa Kambo Mama Mbunge Kilango Hapendwi na Rais Kikwete

Sasa yeye alidhani angepata Ubunge wa East Afrika apate hizo dollar za Bure akaambulia kura 40 tu za CCM

Kwahiyo; sasa kaanzia chini uchaguzi wa Kata Kivukoni, Mama Salma kampa kura sasa anaisifia CCM ya Kikwete

Ili wampe Cheo ndani ya CCM Halmashauri kuu labda atafanikiwa Ubunge 2015. Lakini ana akili ya kitoto kweli SIJUI
 
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali.

Kazi inaendelea mpaka kieleweke.
Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook kupiga majembe CHADEMA, na kuisfia CCM.

Hivi jamaa ametoka ulaya hakuna ishu nyingine ya kufanya. Mpaka kung'ang'ania cheap politics.

Ninapata shida kujua, all the years state alikua unafanya nini????

anataka kuendeleza legacy ya malechela. si wajua viongozi wa ccm lazima wawarithishe watoto wao uongozi chamani eg kina kawawas,sokoine,kikwete and etal. it doesnt matter hata km sifa hawana. tehe tehe kutoka kubeba maboksi hadi mlezi wa wazazi kivukoni! hii ni strategy ya familid ya malechela piga ua lazima waendeleze jina kwenye politics za tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom