Orodha ya madaktari na maeneo wanayosali/abudu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orodha ya madaktari na maeneo wanayosali/abudu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mussa Loth, Jun 26, 2012.

 1. M

  Mussa Loth Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
  1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
  2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
  3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
  4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
  5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
  6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
  7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
  8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
  9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
  10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

  Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
  MUSSA -0763623082
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

  Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.
   
 3. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  you need a psychiatrist u insane
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Njaa mbaya sana
   
 5. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ungeanza tembeza kipondo kwa mafisadi kwanza,kama kweli unamaanisha usemalo.
   
 6. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kutibia wagonjwa bila mask jamani hata ili nalo......yani mask nayo hadi mtu agome????
   
 7. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kama hii ndio akili uliyonayo you are useless completely and i dont think if you deserve to call yourself great thinker....hopeless
   
 8. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kaka yangu Mussa,njia waliotumia madaktari ni sahihi na nawaunga mkono kwa sababu zifuatazo 1) Whether kuna mgomo au la,watu hufa mahospitalini
  2)Umejikita katika maslahi hasa mishahara,nataka nikwambie habari za mishahara na posho ni sehemu tu
  ndogo ya madai yao,kikubwa ni vifaa kwa ajiri ya huduma wanayotoa.Na hili si kwa faida yao ni kwa ajiri
  yawananchi

  3)Madaktari wana uchungu na wagonjwa kuliko serikali,hii inathibitishwa na ahadi za serikali kwa madaktari
  zisizotekelezeka.Kama serikali ina uchungu na wananchi wake kwanini isitekeleze makubaliano?
  4)Ni dhahili kabisa kwamba kwa kazi wanazofanya madaktari na mishahara yao haviendani,ukizingatia
  wabunge wanasinzia tu bungeni na kuondoka na 10 m kwa mwezi.
  Mwisho nirudie kuwapongeza madaktari kwa kugoma,lakini pia nitumie fursa hii kuelekeza lawama zangu kwa serikali kwa kutoonyesha nia ya kweli ya kuokoa maisha ya watanzania maskini.Kweli nimeamini aliyeshiba hamjui mwenye njaa,familia za viongozi zinatibiwa nje ya nchi na hivyo hawaoni umuhimu wa kuboresha hospitali zetu.
   
 9. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Madakitari hawana wajibu na afya za watanzani,,serekali ndo inapaswa kutoa afya kwa wananchi wake,,,kama wabunge imewezekana kuwalipa mil1o kwa mwezi...450000/- kwa siiku kwa ajili ya watu wa tume ya kukusanya maoni,,kwa nn ishindikane kwa madakitar?
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Sikujua una akili za kitoto namna hii sikutegemea comment za kipumbavu namna hii kutoka kwako
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280

  This is totally layman solution.
  Re-think critically.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  I am a layman. And that is the best solution.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hujapeleka mgonjwa wako hospitali ukakuta huko ndio anazidi kuumwa kwa kukosa huduma.
   
 14. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa nini tunachangia thread za kipuuzi namna hii?
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ukikosa mask wakati wa operation utasababisha bakteria walioko kwenye kinywa na pua kuingia kwenye mwili wa mgonjwa na hatimaye mgonjwa huyo kupata uambukizo(sepsis) hili laweza kusababisha kifo cha mgonjwa huyo.
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  musa naomba uwaambie madaktari watumie njia gani kudai maslahi yao.kama ni mazungumzo leo hii ni mwezi wa sita bila majibu.
  ukiangalia kwenye bajeti ya afya ndio kwanza imepunguzwa unadhani kuna nia ya dhati ya kutatua mgogoro huu?
   
 17. m

  muislamsafi Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kila upumbavu utapishwa na mods na kujadiliwa humu sasa naanza kupata sababu za kuachana na jf tafadhali chujeni na makapi yasiingie humuuuuuuu alaa
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280

  okey layman.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wishful thinking!!!
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nilishasema kuwa kama hujaelewa mada au hujui namna nzuri ya kutatua migogoro bora ukae kimya tu. Ukimlaumu Dr, utakuwa unalaumu matokeo. Njia nzuri ya kutatua migogoro ni kulaumu chanzo, so katika issue hii, serikali kushindwa kutimiza wajibu wake ndo chanzo wala si madaktari. He who loughs last, loughs best!!!!!
   
Loading...