Mgomo wa madaktari"eti Litakalokuwa na liwe" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari"eti Litakalokuwa na liwe"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwananchi wa Kawaida, Jun 28, 2012.

 1. Mwananchi wa Kawaida

  Mwananchi wa Kawaida Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Hivi huyu waziri wetu mkuu haya matamko anayatoa wapi?anaandaliwa au nayaandaa mwenyewe?Na anajua madhara yake hasa anapodeal na wasomi wanaotambua wajibu na haki zao?Hajui kwamba hakuna anayeogopa hiyo nikwara ya "nyau"?Sasa nalisubiria tamko lake leo nione kama litatatua tatizo la mgomo au kupunguza athari zake.
  HUYU NI MTOTO WA MKULIMA KWELI??
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwani aliyesema hivyo ni Yule jamaa mwenye maporomoko usoni?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tunasongaa mbele ndio wimbo wao..
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Wazee wa upepo,ni upepo tu hili nalo litapita!teh teh teh.
   
Loading...