Kijana Msomali
Member
- May 10, 2012
- 92
- 71
Leo kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge la Tanzania, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo John John Mnyika aliamuriwa kutoka bungeni baada ya kukataa kufuta kauli yake tatanishi ya kuwa Rais Jakaya Kikwete ni Dhaifu...Hii ina maana ya kuwa kauli hii ya Myika itabaki katika hansard za bunge la Tanzania milele na milele.
Je, Mnyika kumuita Rais Kikwete Dhaifu ni sawa??
La Hasha Asilani, Mnyika alikosea sana, tena sana, kwani Rais Kikwete ni mtu (individual) na wala si serikali (executive) ama taasisi ya serikali (institution). Sote twajua moja ya majukumu makuu ya Bunge (Parliament) ni Kuisamamia serikali (Executive). Na kama Bunge ambalo Myika naye yumo ndani limeshindwa kuisimamia serikali (Executive) ambayo Myika anadai anayeiongoza ni mtu dhaifu, Je hilo bunge nalo tuliite Bunge Dhaifu?, na kama ni bunge Dhaifu lililoshindwa kusimamia Serikali Dhaifu, Je hii inamaanisha wabunge wa bunge hilo (wawe wa CCM, CDM, CUF, TLP, NCCR, UDP ama Viti Maalum awe Zitto, Mdee, Nchemba, Lembeli, Mbatia, Mwakyembe n.k) nao ni Dhaifu?.
La Hasha Asilani, kwani na aimini ndani ya bunge hilo tuna wabunge ambao si dhaifu asilani, na kuwaita dhaifu ni kumkosea mungu, kwani wanajitahidi sana kuwasilisha kero na matatizo ya wanajamii, lakini mwisho wa siku wanaangushwa na taasisi Bunge, naamini Rais Kiwete si Dhaifu Asilani ila anaangushwa na taasisi serikali, ambayo ndani yake kuna mawaziri,manaibu waziri,makatibu wakuu, wanasheria wa serikali,wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa manispaa,makatibu tawala na wafanya kazi wavivu wa taasisi za serikali.
Kama Rais Kikwete angekuwa Dhaifu basi bajeti ya mwaka huu ingesomwa na Mustafa Mkulo.