Israel to help Zanzibar improve agriculture

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Wed, May 9th, 2012

Wed, May 9th 2012/ Tanzania |

Seif-Ali-Idd-inspects-some-of-the-farming-projects-in-Jerusalem.jpg

Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Idd inspects some of the farming projects in Jerusalem over the weekend. Israel has agreed to help Zanzibar improve farming methods.

Zanzibar and Israel have agreed to constitute working groups to further promote agricultural cooperation.

The agreement was reached when Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Iddi and Israel Minister of Agriculture and Rural Development, Ms Orit Noked held a meeting in Jerusalem.

According to a press release from Israel, where Ambassador Seif is on a three-day visit, experts in livestock keeping from Israel will be sent to
Zanzibar at the end of this month (May) to train farmers on modern methods to improve productivity.

While discussing various issues with the Israeli Minister, Ambassador Seif sought modern farming and technology from Israel and asked for extended co-operation.

The
Zanzibar vice-president thanked Israel for the offer to train Zanzibar livestock keepers, and invited Israel to invest in the Islands. "We are proud of our modern farming methods, and we are ready to share with developing countries," said Ms Noked, noting that her country has been leading in competitive agricultural exhibitions involving many countries.

By ISSA YUSSUF,
Tanzania Daily News

So the Government of Zanzibar has no relations with Palestinians anymore? they turn to Israel?

Nyerere did cut off relationship with Israelis in 1965 I remember they did build Bugando Hospital in Mwanza,
 
Mmmmmm!!!!!???? makubwa hayo. Si watapunguza influence ya wa Irani hapo visiwani???? yangu macho. hard liners watasemaje??
 
Waarabu wamewatumia wazanzibari wee mpaka wenyewe wazanzibari wamekuwa na SLAVE MENTALITY. Kule visiwani wanasikitisha sana...wao kila mtu anajiona yeye ni Mu Oman. Hwataki kabisa ule uafrica wao.

Utumwa wa kiakili mbaya sana.

Ukienda kule hamna cha zaidi ya kuonyeshwa jinsi gani walivyo close na waarabu.

Ujinga mtupu na sasa wanabaguana mpaka kwenye shughuli za kijamii...na bila kusahau kuwa hata viongozi wa kidini hawakemei huu ubaguzi
 
Safi sana, Waaarabu wanaenda pale kujiburudisha tuu. Israel wanaingia kwa njia nyingine kabisaa. Na naunga mkono hoja.

Subirini tamko la Jussa.Atadai Balozi Seif Ali Idd ni Mkristo,ndio maana badala ya kuikaribisha Iran yeye anaikaribisha Israel visiwani Zenj.
 
Waarabu wamewatumia wazanzibari wee mpaka wenyewe wazanzibari wamekuwa na SLAVE MENTALITY. Kule visiwani wanasikitisha sana...wao kila mtu anajiona yeye ni Mu Oman. Hwataki kabisa ule uafrica wao.

Utumwa wa kiakili mbaya sana.

Ukienda kule hamna cha zaidi ya kuonyeshwa jinsi gani walivyo close na waarabu.

Ujinga mtupu na sasa wanabaguana mpaka kwenye shughuli za kijamii...na bila kusahau kuwa hata viongozi wa kidini hawakemei huu ubaguzi

Hata kwenye safari zao lazima waende na mtu mwenye uarabu japo hata kama si lolote, ilimradi rangi tu.
Ushamba unauona kwa mbali hapa katika picha, eti wamemechisha suti na tai, sijui za kuazima?
halafu mtavaaje wote wawili tai nyekundu mkiwa ziarani israel au walidhani wako china au urusi? hawajui kuwa rangi hiyo ni ya nchi za mrengo wa kushoto? na israel ni far right?
Nadhani safari hii ni ya ghafla na ya lazima ili kufunika macho jamii ya kimataifa kuwa hawako na Iran, ila ndo dalili kuwa Irani na Mujahideen wako ndani ya Zanzibar wakitaka kukiteka kisiwa kwa kutumia dini.
 
Countries should have permanent interest and not permanent friends.
Tanzania ni lazima irudishe uhusiano na Israel,mbona Syria wanaua ndugu zao kwamabomu na mizinga bado hatujakata uhusiano??
Tanzania ni lazima iwe na uhusiano wa kibalozi na kila nchi, huu UJINGA wa kujifanya kufuata mlengo wa kulia sijui kushoto au Udini ni Umasikini wa kufikiri na UBWETEVU wa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea.

Israel kwa kipindi kifupi tulichokua na uhusiano nao.
Walianzisha JKT na Kuimarisha JWTZ
Walijenga UDSM na hotel ya kilimanjaro
WaliTrain Polisi wengi na UWT
WaliTrain Makomando wengi tuliowahi kujivunia.

Tangu tuvunje uhusiano nao kila mradi walioanzisha umejaa ujinga na ununda. Iko wapi JKT????.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wayahudi wana akili sana, wameshafanya intelijensia!!! sasa wale watalaam sijui inakuaje
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa....ndio mambo ya ulimwengu huu yanavyokwenda. Naona siku hizi hatufanyi siri tena kuhusiana na wale tunaopenda mambo gizani yao lakini tunawakana wakati wa nuru.
 
Waarabu wamewatumia wazanzibari wee mpaka wenyewe wazanzibari wamekuwa na SLAVE MENTALITY. Kule visiwani wanasikitisha sana...wao kila mtu anajiona yeye ni Mu Oman. Hwataki kabisa ule uafrica wao.

Utumwa wa kiakili mbaya sana.

Ukienda kule hamna cha zaidi ya kuonyeshwa jinsi gani walivyo close na waarabu.

Ujinga mtupu na sasa wanabaguana mpaka kwenye shughuli za kijamii...na bila kusahau kuwa hata viongozi wa kidini hawakemei huu ubaguzi
Acha chuki binfsi izo kwa wazenji, kama gt unatakiwa ujuwe kwanza wakoloni lazima waache athari kwa eneo husika, ambazo inaweza kua ni sehem ya utamaduni, hata ivo suala la kuhusisha wazenji na kujihisi waarabu ni uongo na uzushi unaosema, lini wazenji waliukataa uafrica wkt zaidi ya aslimia 90 ni weusi, wewe huna lolote zaidi ya chuki zinzokusumbua na utakufa nazo izo mpumba avu mkubwa wewe na wote wenye mawazo mgando kama yako, mna matatizo kila idara hebu jadili ayo kwanza.
 
Eti walifunza polisi wengi ndo hawa polisiccm.Sitaki hata kusikia huu upuuzi.Kama madini hatujaweza kumanage ya tufaidishe ije kuwa kilimo
 
china and zanzibar.jpg Visiting Chinese President Hu Jintao (R) meets with Zanzibar President Amani Abeid Karume in Dar es Salaam, Feb. 15, 2009. (Xinhua/Ju Peng)
rais wa zanzibar.jpg Zanzibar na mashariki ya kati haijaaza israil hata UAE ina uhusiano wa karibu tu.
Bora urafiki huu kuliko urafiki na nchi maskini ilojaa mafisadi Tanganyika

ZANZIBAR ISRAIL
zanz flg.jpg israil.jpg
 
Mimi nikiwa ni Mtanzania najisikia aibu na omba omba ya viongozi wetu. Tanzania imeshasaidiwa vingapi kwenye kila sekta - afya, elimu, kilimo, utawala....na tumefaidika na kipi kutoka misaada hiyo? Ni mradi gani wa kilimo ambao tumesaidiwa na umeendelea?

Waisraeli wanakuja kutoa mafunzo kwa wafugaji, ni vizuri. Zitafanyika warsha watahudhuria viongozi, watapokea posho za vikao, mradi umemaliza.
 
Nchi ina watu wana njaa sijapata kuona. Mtu anaenda semina au warsha wakati anafahamu it has nothing to do with his/her job. Hizi perdiem balaa kubwa kwa uwepo wa Taifa letu.
 
hiyo ni bora, afadhali mwisrael aingie pale kuliko mwiran au mwarabu yeyote yule....nimefurahi kusikia hivyo. baadae na sisi wabara tutakubali ubalozi wao ufunguliwe hapa ukiwa mkubwa kabisa kama ule wa kenya ili nchi yetu ibarikiwe kwa uwepo wa watoto ibrahimu isaka na yakobo.
 
Back
Top Bottom