Wenyeviti wa vijiji na vitongoji kupatiwa posho kutoka serikali kuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenyeviti wa vijiji na vitongoji kupatiwa posho kutoka serikali kuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAIDEA, Jun 20, 2012.

 1. M

  MWANAIDEA Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni zaidi ya miaka 35 toka serikali ianzishe serikali za vijiji ,ambazo ndio msingi wa maendeleo na demokrasia zikiongozwa na wenyeviti wa vjiji na vitongoji ,lakini viongozi hawa wamekua wakifanya kazi bila ya kua na posho wala mishahara na kupelekea kudhoofisha shughuli za maendeleo katika maeneo yao naombeni michango yenu
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa kuwa hakuna anayejitolea kutaka uongozi wa ccm, wameona nafuu wawape posho!! Inafurahisha kweli!!! CCM inawapa wananchi posho wakati CDM inapewa posho na wananchi!!
   
Loading...