January Makamba: Tunahitaji kuongozwa kidikteta?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
kaandika hivi leo kwny fcbk wall yake.

"Matukio yanayotekea hivi leo bungeni yananikumbusha makala yangu niliyoiandika mwaka 2008, Je kwa hali hii tunahitaji uongozi wa kidikteta?"
my outlook:
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kubaini kuwa Jmakamba anampiga vijembe nani hapo.
 
Ah,,,utawala wa kidikteta hata sasa unaendelea tu,,,maana kundi la watu wachache wananeemeka na utawala huu,huo pia ni udikteta,au anadhan udikteta ni kutumia nguvu
 
Hiyo makala ilikuwa inazungumzia "Udhaifu"?? Maana anaseka hayo mambo yamemkumbusha makala yake!!
 
historia inaonyesha ameshwai kuwa mkulima katika shambaa kuu la rais.kwa hiyo wala simshangai
 
Udhaifu wa kiongozi haumanishi si dikteta, unaweza kuwa Dhaifu ktk kuongoza na ukawa dikteta, Si kweli kwamba udhaifu wa JK na ccm na Serikali yake unatokana na kutokuwa dickteta, Udhaifu wake unatokana na kushindwa kufanya maamuzi hata ktk mambo ya msingi, udhaifu uko ktk kuteua watu dhaifu, udhaifu ktk kuwajibisha watu aliowateua, udhaifu uko ktk kutekeleza majukumu yake ya kikatiba na kisheria, udhaifu ktk kutoa maamuzi na kukemea mambo yanayotishia usalama wa nchi kama UAMSHO, wizi wa dhahili wa maliasili zetu,nk
 
Ah,,,utawala wa kidikteta hata sasa unaendelea tu,,,maana kundi la watu wachache wananeemeka na utawala huu,huo pia ni udikteta,au anadhan udikteta ni kutumia nguvu

Hujui maana ya UDIKTETA, bora ungekaa kimya.
 
kaandika hivi leo kwny fcbk wall yake.

"Matukio yanayotekea hivi leo bungeni yananikumbusha makala yangu niliyoiandika mwaka 2008, Je kwa hali hii tunahitaji uongozi wa kidikteta?"
my outlook:
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kubaini kuwa Jmakamba anampiga vijembe nani hapo.

Asimungunye manenowengi hiyo makala yake ya 2008 hatukuiona because he was a nobody then! airudie tena sasa hivi tuone mashiko yake kama anafikiri ilikuwa na mashiko ya kutosha kuwa classified as "food for thought"
Karibu january!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Anachomzidi JJ ni kubebwa tu na kupita bila kufanya uchaguzi wowote!

Labda na fashion ila kichwani hatakaa ajilinganishe na Mnyika!!

Yeye aendelee kufurahia mbivu za magamba ila siasa awaachie vijana wana hustle from scratch to heroes!!
 
January Makamba alipita bila kupingwa 2010, hana tofauti na viti maalumu tu wakina Madabida
 
Mnafiki tu huyo mwenye kupenda kujikomba kwa wakubwa ili apate cheo. Yeye na babake walimchezea rafu ya kishenzi sana Shelukindo kwa yeye babake mzee kinundu kutumia cheo chake kimbeba mwanae. Akisema dikteta je kuna kiongozi alokuwa dikteta kama babake mzee Yusuph Makamba a.k.a mzee kinundu? Dogo aache unafiki coz hata yeye Mwenyewe anajijua fika kuwa kiuwezo hawezi kumfikia Mnyika.
 
kaandika hivi leo kwny fcbk wall yake.

"Matukio yanayotekea hivi leo bungeni yananikumbusha makala yangu niliyoiandika mwaka 2008, Je kwa hali hii tunahitaji uongozi wa kidikteta?"
my outlook:
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kubaini kuwa Jmakamba anampiga vijembe nani hapo.

yani huyu ndo shibuda kupindukia....naona hata mwanae zitto kamshtukia kwamba ni walewale tu...njaa ndo ilimfanya kipindi kile aonekane ni jemedari zitto aliposema watu wasaini ile pepa ya kutokua na imani na waziri mkuu akatokomea huku akigugumia chinikwa chini...then alipopewa unaibu ndo kabisaaaaaaaaaaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom