Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jun 20, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=2][/h]Waziri wa katiba na sheria Zanzibar Abubakar Khamis Bakar amesema jukumu la kuliondoa jina la serikali ya Mapinduzi na kuliweka Jamhuri ya watu waZanzibarlinaweza kufanyika kupitia kwa wananchi.
  Waziri Bakar ametoa ufafunzi huo katika baraza la wawakilishi wakati akijibu suala la mwakilishi wa mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu alietaka kujua chombo kilichofuta jina la Jamhuri ya watu waZanzibarna kuliweka jina la serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  [​IMG]Waziri huyo amesema jina la Jamhuri lilikuwa likitumika katika sheria ya katiba yaZanzibarnamba 5, ya mwaka 1964, lakini baada ya kufanyika muungano waTanganyikanaZanzibarApril 26 1964 na kundwa Jamhuri ya MuunganoTanzaniajinahilolilifutika kutokana na sheria za katiba zilizotumika.
  Hata hivyo amesema kwa vile jina la Jamhuri ya watu wa Zanzibar halikufutwa kisheria ni rahisi kulirejesha tena pale endapo wazanzibari watataka kulirejesha
   
 2. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wanahisi Watanganyika mnawakoloni Wazanzibar. Wapeni uhuru wao wafanye watavyo.
  Huyo Jussa ana hamu kweli waarabu ndugu zake warudi hapo tena.
   
 3. m

  mzaire JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Toa hoja madhubuti uctuwekeee uharo wa bata hapa, alah!!!!!! Weee kilaza sana.

  Wazanzibari waislam wacha wawapende waarab kwani Mtume wetu Muhammad (swalla-llahu-alayhi-wasallam) alikuwa Muarabu, wacha ujinga wako mpumbavu wee!!

  Zanzibari Kwanza muungano baadae.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  counter-revolution!!!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Let Zanzibar go.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mimi nilidhani Muhammad alikuwa Myahudi, no?
   
Loading...