Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge kujizolea milioni 10 kwa mwezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Jun 20, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,329
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  habari ndio hii.huku madaktari wakiambiwa milioni 3.5 kamwe haiwezekani
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,951
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ili uweze kumtetea mtu toyote ni lazima uyajue mazingira ya kila kitu kuhusu unaemtetea lakini kama wewe mtetezi unakula keki huwezi kumtetea anaekula kibama (aina ya kitumbua kitengenezwacho kwa ndiz na unga wa ugali) mbunge ml 10 anajua nini kuhusu ask,mwl,nk anaepata 150 ? kuna siku watu wote watakuwa wabunge
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,840
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwa kuzomea tu wanapewa 10m najisikia uchungu kweli
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 10,569
  Likes Received: 2,913
  Trophy Points: 280
  kasungura bado ni kidogo!ngoja wazee wapate kwanza halafu ndio tuwafikirie ninyi wengine


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
Loading...