Naibu Spika kakosea kifungu gani kumtoa Mnyika nje ya Bunge!

Daniel Muhina

Member
Jun 16, 2012
38
12
Ndugu wana jamvi,
Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaongozwa kwa kanuni na sheria! leo baada ya Mh Mnyika kutamka kile alichotamka, na kutakiwa kufuta kauli na yeye kugoma kufuta kauli yake hali iliyopelekea Naibu spika kumtoa nje.
kwa kuwa JF ni uwanja wa wasomi wa kada mbali wakiwemo wanasheria, naomba nipate michango na ushauri toka kwa wanazuoni wote juu ya nini kifanyike baada ya hapo, maana baada tu ya Mnyika kutolewa nje watu wa kada mbali mbali wameanza kuporomosha kashfa na matusi kwa Naibu spika na viongozi wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine akiwemo Mh Lukuvi. Je kuna kosa gani la kikanuni limefanywa na Mnyika na kuna kosa gani la kikanuni limefanywa na Naibu Spika Ndugai?
 
Job Ndugai,Mbunge wa Kongwa (CCM) na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu.Hasimamii kauli zake ipasavyo. Ni yeye ambaye jana aliliongoza Bunge na kumuamuru John Mnyika kutoka nje ya ukumbi-na hata viwanja vya Bunge akidai kuwa Mnyika amemdhalilisha Rais kwa kumuita dhaifu.Ndugai ana udhaifu wa kusahau mapema hivyo kushindwa kuzikumbuka kauli zake.

Wakati wa sakata la Jairo,ni Ndugai aliyemtaka aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Philemoni Luhanjo 'akachezee' Mamlaka nyingine na si Bunge. Alimaanisha kuwa Dola (ambayo huongozwa na Rais) na Mhakama huchezewa au vyaweza kuchezewa. Ni matusi makubwa kwa Rais na Mahakama. Ndugai ameshasahau matusi yake. Alitukana hivyo pale ambapo Luhanjo alimrejesha kazini Jairo kinyume na maamuzi ya Bunge.

Ni ukweli kuwa Job Ndugai ni dhaifu...
 
Wajkati wa sakata la Jairo,ni Ndugai aliyemtaka aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Philemoni Luhanjo 'akachezee' Mamlaka nyingine na si Bunge. Alimaanisha kuwa Dola (ambayo huongozwa na Rais) na Mhakama huchezewa au vyaweza kuchezewa. Ni matusi makubwa kwa Rais na Mahakama. Ndugai ameshasahau matusi yake. litukana hivyo pale ambapo Luhanjo alimrejesha kazini Jairo kinyume na maamuzi ya Bunge.

Ni ukweli kuwa Job Ndugai ni dhaifu...
Alichokifanya Luhanjo hakina tofauti na alichokifanya Mnyika. Ndughai ameendeleza tu azma yake ya kuwawajibisha Wabunge wenye kutaka kulichezea bunge kama Mnyika.
 
Sijui kama ulifuatilia lile sakata la Jairo vizuri. Maneno aliyoyatamuka Ndugai ni kumdhalilisha raisi na mamlaka yake waziwazi. Mnyika hakumdhalilisha raisi bali alikuwa anamkumbusha
 
kweli ndugai na lukuvi ni dhaifu.. Kwa kupotoa maana ya neno dhaifu kutoka kwenye kamusi ya kiswahili fasaha.. Wanamsujudia raisi..
 
Hivi kuna mbunge yeyote alieko ccm ambaye si dhaifu? Tofauti yao ni kwamba wengine miungon mwao ni Mavuvuzela: Ole Sendeka, Anna kimlango, January Tukamba, G. Zambi, na Job Kibajaji.
 
Umenena! Ndungai si dhaifu tu bali hajiamini katika madaraka aliyonayo. Kwa nini hajiamini? Ndungai ni miongoni mwa watu "waliopachikwa" katika nagzi aliyopo. Hata kama ilipigwa kura; sote tunajua ilikuwa ni mazingaombwe; jamaa alipandwa tangu mapemaaaaa!

Rejea kauli yake akimwamuru Mh.Mnyika kutoka bungeni,...."na mimi kama naibu spika makini....".
Kwa nini aweke maneno haya? Umakini wa mtu upimwa kwa utendaji kazi uliotukukana si blaa blaa. Ukiona mwanamume anaanza kusema, "utanijua kama mimi ni mwananmume..." weka kiulizo kikubwaaaa!

EJL
 
Job Ndugai,Mbunge wa Kongwa (CCM) na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu.Hasimamii kauli zake ipasavyo. Ni yeye ambaye jana aliliongoza Bunge na kumuamuru John Mnyika kutoka nje ya ukumbi-na hata viwanja vya Bunge akidai kuwa Mnyika amemdhalilisha Rais kwa kumuita dhaifu.Ndugai ana udhaifu wa kusahau mapema hivyo kushindwa kuzikumbuka kauli zake.

Wakati wa sakata la Jairo,ni Ndugai aliyemtaka aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Philemoni Luhanjo 'akachezee' Mamlaka nyingine na si Bunge. Alimaanisha kuwa Dola (ambayo huongozwa na Rais) na Mhakama huchezewa au vyaweza kuchezewa. Ni matusi makubwa kwa Rais na Mahakama. Ndugai ameshasahau matusi yake. Alitukana hivyo pale ambapo Luhanjo alimrejesha kazini Jairo kinyume na maamuzi ya Bunge.

Ni ukweli kuwa Job Ndugai ni dhaifu...

ULE ULIKUA NI UPEPO NA HUU NI UPEPO'UNAPITA TU' hata bunge nalo ni dhaifu,,,kwani issue ya JAIRO IMEFIKIA WAPI????
 
Umenena! Ndungai si dhaifu tu bali hajiamini katika madaraka aliyonayo. Kwa nini hajiamini? Ndungai ni miongoni mwa watu "waliopachikwa" katika nagzi aliyopo. Hata kama ilipigwa kura; sote tunajua ilikuwa ni mazingaombwe; jamaa alipandwa tangu mapemaaaaa!

Rejea kauli yake akimwamuru Mh.Mnyika kutoka bungeni,...."na mimi kama naibu spika makini....".
Kwa nini aweke maneno haya? Umakini wa mtu upimwa kwa utendaji kazi uliotukukana si blaa blaa. Ukiona mwanamume anaanza kusema, "utanijua kama mimi ni mwananmume..." weka kiulizo kikubwaaaa!

EJL

Umenena! Ndugai ni dhaifu mno na hajiaminikabisa!
 
Back
Top Bottom