Wabunge someni vizuri, serikali haijafuta kodi ya bodaboda imepunguza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge someni vizuri, serikali haijafuta kodi ya bodaboda imepunguza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMA POROJO, Jun 22, 2012.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wabunge kwa kutosoma vizuri bajeti wanaipongeza serikali kwa kufuta kodi ya bod boda wakati si kweli. Kodi ya mapato kwa bodaboda imeshuka toka 95,000/= mpaka 35,000/= kwa mwaka na si kufutwa. Upotoshaji huu utaigombanisha serikali na bodaboda baada ya bajeti.

  My take: kitendo cha serikali kupunguza kodi ya bodaboda kutaisaidia sana sekta hii kuinuka ingawa ukweli unabaki palepale kwamba asilimia 75 ya waendesha bodaboda ni ajira kuliko kumiliki bodaboda.
   
Loading...