Chadema yaivamia ccm jimbo la kinondoni,lengo kuongoza kuitokomeza ccm majimbo yote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yaivamia ccm jimbo la kinondoni,lengo kuongoza kuitokomeza ccm majimbo yote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakajilae, Jun 22, 2012.

 1. m

  mwakajilae Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kuzidi kujipanga na kujiimarisha kuelekea mapinduzi ya mabadiliko ya lazima mwaka 2014/2015,Kwa mujibu wa Taarifa kutoka baraza la Vijana Kinonondoni,Jumamosi hii ya tarehe 23.06.2012.Ndg Mwita Mwikabe,Msafiri Mtemelwa na Benson Kigaila(wakurugenzi Makao makuu ya Chama) wataongoza mapambazuko ya kimabadiliko kwa Kuzindua matawi sita ya Chadema katika jimbo lilo na makazi ya matajiri na mafisadi wa Taifa huku wananchi wakiishi katika umaskini was kupigiwa mfano.
  Ukiwa mwananchi mpenda mabadiliko,wasiliana na Kamanda wa jimbo kupitia namba +255723091412.
  Usilalamike,wewe uamue Tanzania uitakayo kwa kujiunga na wanamabadiliko.
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asante kwa news
   
 3. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Good move..
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tupo pamoja Mkuu
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4C! Hatutaki hata kusikia uwepo wa ccm ktk Nchi yetu ya Asali na Maziwa ambao imekuwa kisima cha neema kwa watu kadha!

  Nimeshasema hili likiwabakiza Mi binafsi na familia yangu nitaenda kuomba uraia wa kudumu Sudan ya Kusini.
   
 6. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  UPUUZI MTUPU.
  hapa ndipo ilipozaliwa TANU.
   
Loading...