Spika makinda akinusuru chama chake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika makinda akinusuru chama chake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPA, Jun 21, 2012.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Baada ya kuona upepo wa kupita bajeti ya serikali ni mgumu, Bunge la jioni limehairishwa, spika makinda baada ya kuona mwelekeo wa bajet ya chama chake sio nzur, ameagiza serikali ikajipange upya leo jion, kesho asubuhi saa tatu waje na mawazo mpya ya kuinusuru bajeti. Bajeti dhaifu
  CPA(T)
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Eh,,,,,,,,inapitishwa lini?????
   
 3. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hahahahaha bunge dhaifu, spika dhaifu, CCM dhaifu, wabunge wake dhaifu
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,559
  Trophy Points: 280
  Nasikia dhaifu pia yupo Dom kuinusuru bajeti.
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mi nadhani wabunge hwana cha kuchangia maana ni yale yale ya miaka yote hata wakijadili kwa nguvu gani utekelezaji haupo hivyo walio kuwa wamejiorodhesha kuchangia wameisha

  tunasubiri kesho bajiti ipite kwa kishindo na party ifanyike kumpongeza waziri wa noti
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  silly season trending...............
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Were they testing the water dept kwa kuweka njiti ya kiberiti kuvuka kuelekea Kigamboni ?Kazi ni kubwa watanzania hawaitaki CCM .
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ndiyo nani huyu tena ?????
   
 9. K

  Kengedume Senior Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwigulu Nchemba na upumbavu, ujinga na udhaifu wake arudie tene kuyaita mawazo na ushauri wa kambi rasmi ya upinzani rubbish!!!!? hiyo first class degree ilishakuwa wimbo ambayo ameprove faliur. dhaifuuuuuuu!
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  yule ambaye mtoto wake pekee alipata div 4 kwenye shule ya Feza
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mr Dhaifu.
   
 12. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  dhaifu = dr wa kupewa
   
 13. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Rais wao dhaifu, waziri mkuu dhaifu........
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mawazo dhaifu sana hayo ..first clas degree ndo nini? na wewe ni dhaifu sana
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mzee wa kutalii na kubembea.
   
 16. W

  William wa Ukweli Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DISLIKE!!!!!!!! Invisible weka kitufe cha DISLIKE, tutumie haki yetu ipasavyo; nikiipenda hoja nabofya 'LIKE' nisipoipenda niweze kubofya 'DISLIKE'

  kama umeipenda na hii bofya LIKE!!!!!!!!!!!!!
   
 17. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...na waliomchagua...... anaowaongoza...
   
 18. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dhaifu skwadi wapo katika kikao na dhaifu mkuu! LOL!
   
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Natamani Bunge la bajeti liendelee hadi disemba ni bonge la show mimi na familia yangu tunakaa kuangalia na kufurahia no more movies,BBA na EURO na tunarekodi mda wamepumzika tunacheki marudio
   
 20. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ni dhaifu pia kama wewe!
   
Loading...