Mgomo wa madaktari, waalimu, kutopitishwa kwa budget (mgomo wa wabunge)...TZ mchawi nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari, waalimu, kutopitishwa kwa budget (mgomo wa wabunge)...TZ mchawi nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rasib, Jun 22, 2012.

 1. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tanzania kuna nini, mbona migomo?....ha! Ha! Kauli ya JJ Mnyika inadhihirika sasa, japo magamba yanabisha....mtupishe mmechoka kutuongozo..
   
 2. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Kabla ya walimu kugoma tuNataka auditing ifanyike CWT Mkoba na wenzake watuambie walivyotumia hizo 2% ambazo kila mwalimu hukatwa na kwa nini? Hadi Leo Suala la Bank ya walimu ni danadana? Na kodi za mwalimu houses ambazo ziko almost kila Mkoa mnazipeleka wapi? Jiandaeni na mapinduzi ya uongozi CWT yanakuja
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dhaifu ndo sababu ya kila kitu kinachoendelea sasa.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mnaanza kutafunana wenyewe? au ndo kutumiwa kukwamisha harakati!?
   
 5. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  hamna lazima tusafishe kwanza kwetu Kabla ya kwenda kwingine hat utaingia kwenye mgomo bila uongozi kubadili ka uongozi wa Sasa ni wa wanafki watupu na hautatusaidia
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  Dhaifu lazima asepe nje ya nchi kipindi cha migomo....
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  madaktari wanaweza kugoma lkn walimu hovyo sijui mmnaogopa nini.
   
 8. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  walimu wana munkari na wamechoshwa na maisha wanayoishi tatizo ni viongozi wa CHAMA CHA WALIMU ni wabinafsi wanaojijali wao na siku zote hufishisha harakati za walimu tofauti na madaktari ambao viongozi wao wako mstari wa mbele kudai haki zao, tatizo lingine ni Maafisa Elimu ambao wameshajisahau Kuwa nao ni walimu na kujiona ka miungu watu nao hutumika sana kuwatisha walimu.. Na tatizo lingine ambalo liko sana kwa primary school teachers wengi wao ambao ni walimu wa zamani ni Vihiyo, vyeti sio vyao so hAta hicho kidogo wanachopata kwao ni muujiza lakini hili linaisha coz Sasa kuna follow up Nzuri Saaana ya vyeti ktk vyuo vya ualimu.... Tumaini letu ni Kuwa sekta hii Sasa Ina Vijana wengi wenye sifa ambao wameajiriwa KUANZia miaka ya 2006 na watakuwa chachu ya mabadilko, Tukishamaliza kunyooshana ktk CWT tutafanya kitu ambacho HAMTAAMINI na kila atakayesikia sikio litamuwasha kuna sensa mbele inakuja tutavurugaje hizo data! Mitihani ya Taifa tutaivuruga HAMTAAMINI na bado uchaguzi tutafanya ka tulivyofanya baadhi ya sehemu mwaka 2010 hebu ulizeni walimu hasa wa sekondari walifanya nini labda watunyime hizo fursa NAFKIRI mmeshaona matokeo ya mgomo baridi tulionao
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ipo clear kwamba walimu hawawez kugoma,wanaoweza kugoma labda wale wenye shahada,hawa wa dip kuja ngaz ya cheti hawawez kabisaaaa,sababu zipo nyingi sana,sababu mojawapo ni ukosefu wa vyeti halali,,,,
   
 10. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe unatumika na JK!! Mpinga maendeleo ya walimu!! Kwani huwezi ukagoma halafu baadaye ukapindua uongozi??? Hueleweki Bw. Mchonganishi. Una maana ubadhirifu wa viongozi wenu (kama upo) ndiyo unawanyima stahiki zenu toka serkalini?? Au ndiyo nyie wenye vyeti feki unaogopa utagundulika ukigoma?
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Juz kwenye taarifa ya habar ya TBC1 WALIMU WA MKOA WA RUVUMA WALITANGAZA 'KUGOMA-KUGOMA'WALISEMA WAO WANA IMAN NA JK NA HAWATAGOMA,,,,
  NAJIULIZA WALIMU NA MADAKTAR NI NANI ANAYELIPWA VIZURI HADI SASA??
   
 12. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Ubadhirifu wanaoufanya unahitaji ulinzi toka serikalini na ili walindwe ni lazima wafuate masharti ya wanene, hata wakiitisha mgomo at the end of the day utasikia tunaanza mazungumzo na serikali na mifano ipo mingi tu sina haja ya kuandika hapa....tukiwa kwenye vikao ukiongea sana hawa makatibu na wenyeviti hupeleka majina kwa wakurugenzi na maafisa elimu ili upangiwe kituo CHA pembezoni, hela Nyingi za ajira mpya za walimu huliwa na wakurugenzi maafisa elimu na viongozi wa CWT, kwa nini hata katika post za uongozi CWT. Kama ukatibu UKIWA na bachelor tu hupati? Wanakukata ghafla...... Kuhusu Mimi usiwe na wasiwasi ni mwalimu mwanaharakati ninaetumia vyeti halisi nimesoma diploma monduli TTC, na bachelor nimechukulia UDSM na muda ukifika utanijua tu tena kwa jina na sura ktk harakati zangu nshaadhibiwa sana niko kituo CHA pembezoni sipewi likizo hata form za mkopo wa Bank wamegoma kunisainia ,nilienda kusoma for three years sikupata mshahara afu salary slip zinakuja acha hii mambo wewe! NAFKIRI ni mwalimu nilieathirika na mfumo huu Saaana na Hao viongozi aw CWT si lolote si chochote Ngoja tuwapindue tuwaonyeshe kazi hufanywaje
   
 13. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi ngoja niwaeleze kitu kanini Waalimu wanashindwa kugoma na Madaktari wanaweza.
  1. madaktari wanaushirikiano mkubwa sana kulinganisha na waalimu
  2. Udaktari ni tasnia au proffessional pana na nirahisi sana kupata kazi na kuwa na kipato kikubwa hata nje ya nchi lakini si ualimu
  3. Hivi mwalimu akifukuzwa kazi selikalini ataenda wapi?
   
 14. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Serikali umesoma hapo kwenye RED?!
   
 15. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh makubwa haya, Tanzania itaendelea kudidimia kielimu mpaka.. now naamini waalimu wapo kwenye mgomo Baridi
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Mi nafikiri walimu wanalipwa vizuri.
  Si umesikia wakisema hawagomi maana wana imani na jk.
   
 17. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wee! Tulia, maisha ya waalimu ni magumu jamani ukimlisha na mazingira ya kufanyia kazi....hebu fikiria nauli ya kwenda mjini kufata mshahara kwenda na kurudi 16,000/ kwa mshahara upi jamani
   
 18. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mnyika;tumefikishwa hapa na Bunge dhaifu iliyojaa magamba dhaifu kutoka chama tawala dhaifu inayoongozwa na m/kiti dhaifu anayeongoza serikali dhaifu, iliyojaza mawaziri dhaifu, waolioleta bajeti dhaifu na kuutetea kwa hoja dhaifu na mikakati dhaifu ya kumfukuza jasiri Mnyika anayewaambia ukweli kuwa wao ni wabunge dhaifu na Rais wao JK ni dhaifu.
   
 19. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mzee wa kaya dhaifu!
   
 20. o

  omukajunguti Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona walimu walishagoma siku nyingi ? Kama hujui kampeleke mwanao katika shule za kata ndipo utambue mgomo wa walimu. Mtoto anamaliza darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika hapo useme mwalimu hajagoma ? Walimu wametutengenezea pumba nyingi na hizo ndizo zitakuja kuwa viongozi wetu wa magamba siku zijazo cha moto tutakiona. Si unajua tena mtu asiyesoma alivyo na mbwembe na malalamiko kibao
   
Loading...