Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Aliongea hayo baada ya kauli ya Mnyika; ni kuhusu kauli yake kwamba JK ni dhaifu
source: habarileo

MY TAKE
Kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000.
Maana hao waliokuwa wamejikaza hata Ikulu hawaingii mpaka waalikwe kwa barua rasmi.

TUACHE KEJELI KWA WATZ
 
Hao viongozi wa dini wametua nchini leo? na kama jibu ni hapana, wana maoni gani kuhusu Lucinde kuanzia Arumeru hadi Dodoma?
 
Kwa niaba ya wana ubungo original, nasema hivi: atakayemlaani Myika laana itarudi kwake mwenyewe. Take these words very seriously. Alichosema ndicho. Tuache unafiki, serikali yetu ni dhaifu sana. Mfano Mlima wa kiwira, Epa, Meremeta, Twiga, Tembo, Vitalu Nk. Anayesema kweli yuko upande wa Mungu, na mnafiki yuko upande wa pili (wa Shwatwani).
 
Malaria Sugu.
Huyo Shekhe mkuu wa Dodoma nakumbuka alianzisha movement ya kumtetea Ghadafi na kutapa wale ni wavuta bangi eti amesoma Libya, anaijua na Ghadaf ni mtu strong, matokeo yake ndio hayo, anajifanya amesoma sheria libya, anaingilia uhuru na haki za bunge na mbunge.
 
hahahahaha...! viongozi wa dini sio..?? WANAONA AIBU MANAKE WALISEMA NI CHAGUO LA MUNGU..! kaaaa ...
 
malaria sugu.
Huyo shekhe mkuu wa dodoma nakumbuka alianzisha movement ya kumtetea ghadafi na kutapa wale ni wavuta bangi eti amesoma libya, anaijua na ghadaf ni mtu strong, matokeo yake ndio hayo, anajifanya amesoma sheria libya, anaingilia uhuru na haki za bunge na mbunge.
kuna haki za raia? Au huzijui? Mbona viongozi wa kikiristo kimya? Au kwa sababu alietoa kauli ile ni kiongozi wa chama chao?
 
Kama ingekuwa UVCCM au UWT ningeelewa, lakini kiongozi wa Dini I smell a rat!
 
Inamaana angemsifia uongo kuwa JK ni kiongozi shupavu sana, hao viongozi wa hiyo dini ya HABARILEO wangemsifia?
 
Dini Gani? Uhamsho nini?

Kwani Askofu peter mwamasika askofu mstaafu wa KKT ni uamsho naye....?

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/966-viongozi-wa-dini-walaani-kauli-ya-mnyika
 
kuna haki za raia? Au huzijui? Mbona viongozi wa kikiristo kimya? Au kwa sababu alietoa kauli ile ni kiongozi wa chama chao?
ha ha ha ha Viongoz wa Kikristo wana akili siyo watu wa kukurupuka, watoe tamko kwa lipi?, wao siyo dhaifu kama huyo shekhe wa Dodoma,
 
Jamani John Mnyika anamuonea JK kwa sababu ni muislamu!! siye waislamu tumlaani Mnyika!! Jamani jamani hii kauli inashirikisha ubongo kweli? Nchi imedumaa na watu wamedumaa kiakili oh GOD!!
mtu dhaifu kama wewe unakalia udini sisi wanasonga mbele...
 
Nawewe mbona unakuwa mzito kuelewa? jamaa katoa source ya hii habari ni Habari leo, lazima ujue habari leo huwa linatumiwa na Chama gani kwa propaganda pia uende mbali zaidi kujua ni dini gani pia hutumiwa sana na chama hicho kwa Propaganda.

Hata kama asingetakiwa aache habari ina hang' kiivyo
 


Kwani Askofu peter mwamasika askofu mstaafu wa KKT ni uamsho naye....?

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/966-viongozi-wa-dini-walaani-kauli-ya-mnyika

Gazeti la Habari Leo mnaosoma ni nyie tu Wasaliti wa Nchi. Huwezi kuweka reference kwa ***** wao
 
viongozi wa kikristo huwa hawakurupuki. Wameenda shule sio kama wenzetu.
wamelifanyinyia nini taifa? Maji hamna, tz maskini, rushwa imejaa. Matibabu ovyooo. Watoto wanabakwa? Hawakurupuki wanakula mali za watz? Kama unataka uwapime kama wapo kwa maslahi yao. Ondosha kodi ya misamha ya kodi yao. Kama hawatatoka kipovu
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom