Udhaifu wa jk:je migomo ya madaktari na waalimu inazidi kuthibitisha kauli ya mnyika?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa jk:je migomo ya madaktari na waalimu inazidi kuthibitisha kauli ya mnyika??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Jun 22, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kushindwa kutatua mgogoro wa madaktari baada
  ya yeye mwenyewe kuingilia kati kinathibitisha wazi kauli ya Mnyika kuwa Rais huyu ni
  dhaifu. ameshindwa ku offer leadership kwenye swala zima la madaktari na kitendo cha
  tatizo hili kujirudia kinaonyesha wazi udhaifu wa kiongozi huyu.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tokea amechaguliwa ni dhaifu anachoongeza ni degree za udhaifu tuu
   
 3. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Labda anajua kuwa huo ni upepo tu utapita! Ni wazi atajiandaa tena kuongea na wazee wa Dar es salaam na madaktari watapewa ahadi hewa! Watatulia na kisha watarudi kazini!
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kitendo cha kushindwa kulikabili tatizo linapoibuka na kukimbilia kuongea na wazee wachovu wa dar es salaam ni aina
  nyingine udhaifu wa uongozi wa jk kwani rais umechaguliwa ku solve problems na siyo kukimbia ofisi na kwenda kupiga
  soga(laying blame) na wazee wa dsm ambao hawakusaidii lolote(intems of ideas) katika kukabiliana na tatizo hilo.
   
Loading...