ni nini kilichochea kuungana kwa bara na visiwani??

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
hivi ni nini hasa kilichochea au kushawishi na kupelekea Tanganyika kuungana na zanzibar? nimekuwa nikijiuliza haya baada ya kuona chokochoko za muungano haziishi. kwa mnaojua naombeni mtueleze.
 
Back
Top Bottom