Ni wazi sasa CCM imewabana CHADEMA bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wazi sasa CCM imewabana CHADEMA bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jun 20, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijui huu ni mkakati Maalum wa Spika Dhidi ya wabunge wa Chadema na wapinzani?
  ktk hotuba ya bajeti inavyoendelea utagundua kuna mkakati umepangwa na CCM dhidi ya wabunge wanaonekana wanazungumza sana kwa ukali kutoka chadema.

  Mbunge wa Chadema akimaliza kuchangia, ameandaliwa mbunge maalum wa CCM kwa kazi maalum na anaelingana sifa za maneno na kejeli kama alivyo wa chadema.
  Kwa mfano, alipomaliza Lissu akaja Mchemba. na sote tulivyoona
  alipomaliza kafulila- Akaja Lisinde. na kila mtu aliona jinsi ya Lusinde alivyombana kafulila huku Naibu SPika akicheka na kumrudisha Lusinde kurudia kauli yake huku akidai hajasikia.
  alipotaka kumaliza Mnyika, kaandaliwa Mbunge machachari wa Mara.
  Akimaliza Msigwa. unaweza ukaona nyuma yake yupo mbunge mwengine wa CCM anaelingana kwa kejeli na vijembe bungeni

  nadhani jinsi ya wachangiaji wa Chadema walivyopangwa. basi nyuma kuna beki aliepewa kazi ya kukaba. na Mpaka sasa washambuliaji wa Chadema wamekwama
   
 2. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi ndo siasa zilivyo
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  MY WEAK PRESIDENT IS HANDSOME...! r.i.p nyinyiemu
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Good analysis wabunge wa chadema wanachangia bajeti ya serikali wabunge wa CCm wanachangia bajeti ya chadema,sijui aliyekwama ni yupi
   
 5. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwishoni mwananchi ndiye anaumia
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  lusinde+mchemba=0
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hukumu ni 2015 Wananchi tunafahamu vyema ni nani yupo upande wa Wananchi na ni nani yupo upande wa Chama. 2015 tutatoa Hukumu za haki.
   
 8. d

  dguyana JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila uzuri hii TBC inaonekana maeneo mengi nchini kwa sasa. So wananchi ndio waamuzi na watekelezaji.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Watajikoroga tu, wewe subiri!! Jana tu hilo la Mnyika limewachachafya!
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  He he he heeeee tutajua nani katikisa nyavu 2015!
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Na huo ndio udhaifu wa wabunge wa CCM. Wanajipanga kupambana na wabunge wa CHADEMA, badala ya kupambana na bajeti mbovu.

  Rais amekuwa Dodoma kwa siku kadhaa, sijui amewatishia au ametumia mbinu gani lakini wabunge wa CCM wanaonekana kutoelewa bomu lililopo kwenye bajeti. Wataipitisha na hapo ndipo watajikuta wamewapa CHADEMA mtaji mwingine wa kuwamaliza nje wa bunge. Hii bajeti imejaa madeni.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo dawa yao imeshapatikana????
  hyo ina maana CCM ina majembe sema tu ilikuwa haiyatumii
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kaskazini ijitenge - Nassari
   
 14. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  wabunge wa sisiem ni waoga, bajeti isipopitishwa rais a.k.a dhaifu atalazimika kulivunja bunge je unategemea likivunjwa bunge kuna mbunge wa sisiem mwenye uhakika wakurudi mjengoni?kazi yao nikuzomea waone:fear::fear::fear::fear:
   
 15. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kusini ijitenge=Majogo
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ushindani bungeni ni hoja sio vijembe na taarabu.wabunge wetu kwa sasa hawana hoja wanaimba tu taarabu
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kama CCM wamejipanga halafu CDM wakawa na hoja nzito,wananchi watawapima kwa hoja zao sio taarabu zao
   
 18. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa hivyo na sisi wananchi ndio wachezaji?
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mbona bunge lililopita Dr Slaa alijizolea umaarufu mkubwa kwa wananchi,hii ni kwa kuwa alikuwa anajenga hoja sio kucheza ngonjera kama hizi za kina mnyika
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hilo utapima mwenyewe na kujua upo upande gani,mchezaji au mpiga ngoma
   
Loading...