Live Bungeni: Sugu, komba wanahojiwa

Komba ni mtu wa mipasho na matusi. Hao TBC wanatumia vigezo gani kualika watu? Kwann wasilete watu makini km Mbunge wa Mwibara etc
 
Kwa mara ya kwanza naona CDM na CCM naona wanazungumza vina vya aina moja. Big up na kwa maswala mengine ya uchumi na maendeleo wafanye hivyo
 
Mpasho umetoka kwa mtoa thread. Ulichoona ni Komba haenei kwenye kiti? Badala ya kuongelea anachosema Sugu, unaongelea mambo yasiyo na msingi kwetu!
 
Mpasho umetoka kwa mtoa thread. Ulichoona ni Komba haenei kwenye kiti? Badala ya kuongelea anachosema Sugu, unaongelea mambo yasiyo na msingi kwetu!

Ndo JF siku hizi kila mtu anakimbilia kuanzisha thread!
 
Back
Top Bottom