Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imefirisika sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga
 
Eti anasema kukataliwa kwa bajeti ya 2012/13 ni shinikizo kutoka nchi za magharibi!!!.Huu ni uhuni na kukurupukia mambo tunamtaka azitaje hizo nchi!! Kama mtu umeshindwa siasa ni bora kukaa pembeni.Hivi wewe huwaoni wabunge wenzako wanavyoizungumzia na kuipinga hyo bajeti?.Je inamsaidia nini mtanzania wa kawaida hasa wa jimbo lako la iramba ambako wananchi wako ni maskini wa kutupwa?.Acha dharau.Source magazeti leo!
 
Hivi binadamu kuwa mnafiki ni nature yake au ni kijitabia tu kinachojitokeza...Baadhi ya wabunge wanakua na kasumba ya unafiki.
 
Mwigulu ni Kama limbukeni mwenzake mukama aliyesema CDM imeleta magaidi toka iraq na Afghanistan kwaajili ya kuhujumu uchaguzi wa Igunga
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kufai wapinzani wamepewa pesa na nchi za maghatibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imekisa sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga

jaribu kuihariri thread yako, ina makosa kibao.
 
Mbnge wa Iringa (mchungaji) aanze kumwombea, yaelekea yale yale ya kina mwakyembe.
 
Nchi za magaribi ndo zilizo samehe kodi, zimesababisha mpango wa maendeleleo kutengewa fedha isiyo tosha, zimesababisha raisi awe dhaifu!.Truly confirms this to be a "silly period"
 
msomi anapotoa maneno kama mtu ambaye hajawi kuhudhuria shule, ni ujasiri pekee kwa wanachama wa CCM. Nchemba katapika hayo wakati wao ndo waongoza harakati za kuuza nchi, nape naye alisema uchumi wa tanzania unakuwa haraka kuzidi wa India. haya matapishi yanawezekana tu kwa wasomi wa CCM, mchungaji msigwa hakukosea kusema profesa anavyoongea akiwa ndani ya CCM, huwezi mtofautisha na mtu ambaye hajawahi kufika shule kabisa.

lakini ninalo taraji moja kuwa 2015, our freedom at hand, tena nawaona wanachelesha kuupdate daftari la mpiga kura
 
Huyo Nchemba anahitaji maombi ya imani na uponyaji, otherwise atakuwa mwokotaji makopo na mpumbavu wa kwanza.
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kufai wapinzani wamepewa pesa na nchi za maghatibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imekisa sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga

Last edited by dosama; Today at 07:17.

May you edit again!
 
Mbunge wa iramba magharibi Muigulu Nchemba amedai kuwa wapinzani wanaoikataa bajeti ni shinikizo kutoka nchi za magharibi kwa nia na lengo la kuja kupora raslimali zetu yakiwamo madini/gesi/na Mali asili nyingine.aliyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na gazeti la Majira huko mjini Dodoma

Sorce:gazeti la Majira
 
Nawaonea huruma sna ndugu zangu wa Shelui kwa kumpigania huyu baba Joshua,mzee Madelu hana cha kujivunia kwa kijana wake
 
Back
Top Bottom