Picha za Baraza la Mawaziri la Mwisho la Rais Nyerere kabla ya kung'atuka 1985 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za Baraza la Mawaziri la Mwisho la Rais Nyerere kabla ya kung'atuka 1985

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chenge, Jun 26, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sita tangu anze hizo? Ndo mana hana jipya
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Alikuwa wa umri wa MAIGE wakati huo..........baraza kubwa sana
   
 4. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duh, kumbukumbu mzuri sana
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sidhani kama huko sahihi, maana kundi la vijana lilikuwa na akina makinda wakatu huo sio sitta

   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kumbe na Ana makinda alikuwepo? Mbona hafuati miiko ya NYERERE?
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wote unawaona leo kwa asilimia 85 walikuwepo. Ili tz tusonge mbele mie naonelea lazima tukipoteze hicho kizazi chote regardless anatoka chama gani.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Siko sahihi? Maige is 42 now Sitta was 41 then!
   
 9. O

  Online Brigade Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Most of them wamegeuka wafuga mafisadi.
   
 10. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Nice souvenir and I love it!
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nilichogundua hapa Nyerere hakuwa mdini baraza lina waislamu 10.

  1. ALLY HASSAN MWINYI
  2. SALIM AHMED SALIM
  3. RASHID KAWAWA
  4. SALIMIN AMOUR.
  5. DAUDI MWAKAWAGO
  6. MUSTAFA NYANG'ANYI
  7. KIGOMA ALLY MALIMA.
  8. AMIR JAMAL
  9.ALNOOR KASSUM
  10. A. SHABAAN
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  .

  Hana chembe au dalili kwamba ni mwanafunzi wa mwalimu Nyerere.
   
 13. M

  Mwanamutapa JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 499
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndio maana nchi zilizoendelea hubadili chama kizima kwa kukiondoa madarakani maana kama ni chama kilekile kiongozi aliyepo alipanda madaraka kutokana na kuteuliwa na viongozi waliopita kwahiyo akishika madaraka hana meno ya kuwafanya lolote maana ni ndugu zake katika chama
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  11. Muhidini kimario
   
 15. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Baraza zima hakuna hata mmoja mwenye title ya Dr. au walikuwa hawapendi kujiita ma-Dr.?
   
 16. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  kumbe ni ANNA (enzi ya mwl) sio ANNE kama anavyotaka aitwe siku hizi
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mkuu mbona unapenda udini so what?
   
 18. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ameamua kubomoa sifa ya mwanamke wa kitanzania. Wakati wanaweza.
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Sita na Mramba kumbe walikuwepo. Wa kitambo. waachie ngazi sasa wameshiba.
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  they have made the 360 degree about turn..hakuna mwenye maadili ya mwalimu zaidi ya salim ahmed..fisadi mramba nalo lilikuwemo eti..dah
   
Loading...