Kwa Tanzania yote yanawezekana

Ramso5

Member
Dec 13, 2011
63
8
Kama ndege ya kijeshi ya uturuki imeangushwa kwa kuingia ktk anga la syria bila taarifa.Je iliwezekanaje kwa ndege ya kijeshi ya oman kuingia na kutoka salama na nyara za Taifa letu.Au ndo kusema kuwa mpango huu ulikua na baraka za viongozi wetu.Tumejifunza nini kutoka kwa wenzetu? Ama kweli kwa Tanzania yote yanawezekana
 
Back
Top Bottom