Waziri mkuu akaangwa bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu akaangwa bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simon james, Jun 26, 2012.

 1. s

  simon james JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Mkanyageni Mohamed Mnyaa (CUF)amemtuhumu Waziri mkuu kuwa ofisiyake ndiyo kikwazo katika swala la muungano, ametoa rai kuwa fedha za EPA zigawanywe sawa Zanzibari. Amemkumbusha pia ahadi zake za uongo alizo waahidi wananchi wake na mwisho ameonesha kuwa hanaimani kuwa mpaka 2015 tutakuwa na katiba mpya. Hotuba ya makadirio ya ofisi ya waziri mkuu ipo kwenye hatihati ya kutokupitishwa kutokana na wabunge wengi kukataa kuiunga mkono bajeti yake
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Same drama
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  watatoa mapungufu ya bajeti kwa 100% na kuunga mkono kwa 100%. kwani huwajui?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kama kawaida itapita tu,,,,,,huwani kutemea mate mic tu
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hawa wehu tu,,,,me siwapendi kweli,maana wanapoteza muda tu hapo,,,,si unawasikia akina HK wanasema CHAMA KWANZA
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  mtoto wa mkulima huyo
   
 7. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  pinda kashapinda jamani muacheni tu hajui afanye nini
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pinda pindisha mtoto wa mkulima hana jipya
   
Loading...